Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Nilikuwa mnyonge Sana kile kipindi hadi nikakondaNakumbuka nilikuwa nawasoma
Ulikataa tamaa ukasema huziombi tena wenzao wakawa wanakwambia usikate tamaa.
Wengi mlivunjika moyo hata hivyo mlipambana zile za magereza round ya pili zikaondoka na watu round hii zamu yako
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Alafu watu hawakujua nilikondeshwa na Nini Zaid ya mama angu