Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kumbe usaili huwa n Mara mbili...
 
mkuu,jamaa anadai wale walio ombea kambi za mikoani ndio wameanza kupigiwa simu, na inakua hvo always. mybe tumuulizie mshikaji ni mkoa upi wameanza kupiga tayari watu simu?
 
Siku zote ukiomba mkoani kila kitu hatua zote zinafanyika mkoani tu , PDF ya mwisho ndiyo itakuja na majina ya watu wote wale na mikoani na wataokao fanya usaili makao makuu hawa ni watu wa fani
 
Siyo kweli mkuu PDF ya mwisho ndiyo inakuwa na watu wote ila hapa mwanzoni watu mikoani Mambo huisha mikoani mfano mwaka jana me nilifanya usaili mkoani kwangu
Tena nakumbuka tulipigiwa simu
 
mkuu,jamaa anadai wale walio ombea kambi za mikoani ndio wameanza kupigiwa simu, na inakua hvo always. mybe tumuulizie mshikaji ni mkoa upi wameanza kupiga tayari watu simu?
Nilijua majina yote ya walioomba mikoani na wale wa professionals yote yanatumwa kwenda makao makuu na wanawekwa kwenye pdf moja. Nimekupata vyema
 
Mwaka jana niliombea kwa cheti cha six ila mwaka huu nimeomba kwa fani,in shortly huko mikoani ni kugumu Sana kutoboa kma hauna connection huko suala la kupachikwa watu ni rahisi mno tena mno Sana
Kweli kabsa kama majina yanatoka mkoani kwenda makao hapo balaa lipo haswaa na upendeleo aisee.

Sasa kwa mfano mkoa wa Dodoma au Kagera unaweza kuwa na nafasi sawa za watu wanaohitajika kwa ngazi ya form4?
 
Kweli kabsa kama majina yanatoka mkoani kwenda makao hapo balaa lipo haswaa na upendeleo aisee.

Sasa kwa mfano mkoa wa Dodoma au Kagera unaweza kuwa na nafasi sawa za watu wanaohitajika kwa ngazi ya form4?
Mikoa ambayo ina kambi au kambi nyingi za jkt ndiyo hupewa upendeleo mkubwa
Kama kagera hakuna kambi hata moja basi jua dodoma ndiyo itabeba watu wengi zaidi mikoa isyo na kambi ni kudonoa tu kadhaa
 
Na kwa form four mara nyingi huchukua wale wa vikosini Sana Sana,kuna mikoa ina kambi za jkt hata mbili kama Tanga,kigoma mikoa hii kambi zao wanabebwa wengi Sana
Kwa Sababu kila kambi lazima kuondoke idadi kadhaa ya watu
 
Huko mikoani kunataka refa wakukupiga push lasivyo hutoboi Kabisa
Ndio nawaza hapa sasa kama kamanda wa mkoa ana watu wake 5 na hao wengine wana watu wao wengine bado wakuu wa vituo, wakuu wa makambi wana watu wao kweli upinzani ni mkubwa hapo mkoani.

Maana wilaya zipo zaidi ya 5 kwenye kila mkoa na wakuu wa idara mbalimbali za jkt, polisi wapo wengi sana wanahitaji nafasi kwa ajili ya watu wao.
 
Kupitia makao makuu afadhal unafuu upo nina marafik zangu kupitia fani wameenda usaili makao makuu wote walibahatika wakapata ajira pasi na connection polisi na uhamiaji japokuwa baba kantuma hawakosekani ila wanaopita bila connection ni wengi tu
Sijakuelewa vizuri mkuu.

Kwamba usahili wa professionals hufanyikia makao makuu Dodoma au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…