bubex_jr
Senior Member
- Dec 28, 2022
- 113
- 83
Kumbe usaili huwa n Mara mbili...Mm najuaga kwamba pdf ya kwanza ndio inakuwa na majina ya watu wote from form4, certificate, diploma na degree. Sasa hapa kwenye kupigiwa simu sijajua huwa inakuwaje
Pdf ya kwanza inakuwa na majina yote ya usaili wa kwanza na pdf ya pili inakuwa na majina ya wateule wachache waliochaguliwa kwenda Dodoma makao makuu kwa usaili wapili then wanaenda ccp.