Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Sio poa inakazwa mpk oral[emoji3][emoji3] hii nchi ukipata lazima umsahau mwenye njaa
Hapo utumishi hao wasimamizi wanavyokaza na mitihani inavyotungwa unasema hawa jamaa walikuwa wasaka ajira kweli
Kama ule usaili wa ofisi ya bunge ngoma jiwe ukicheki matokeo ni sifuri na namba za viatu kama zote [emoji3].
Hapo ukute mwamba ametoka kigoma na nauli yake anaenda pata sifuri Dodoma
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sn acha tu[emoji3][emoji3] hii nchi ukipata lazima umsahau mwenye njaa
Hapo utumishi hao wasimamizi wanavyokaza na mitihani inavyotungwa unasema hawa jamaa walikuwa wasaka ajira kweli
Kama ule usaili wa ofisi ya bunge ngoma jiwe ukicheki matokeo ni sifuri na namba za viatu kama zote [emoji3].
Hapo ukute mwamba ametoka kigoma na nauli yake anaenda pata sifuri Dodoma
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Lakin vitani magereza anaenda lakini haendiMafunzo ya miezi 9 kila siku unaamka saa 6 kasoro za usiku unasema mserereko?una shida wewe yani huko magereza wenye utimamu kidogo ni hao Kmkm ila wengine ni wala chipsi watoto laini.
Sasa Kama ni nyota tatu hio moja na mbili wanachukuliwa wapi?
Professionals wote usaili wao ni makao makuu. Mara zote umekuwa ukifanyika Barracks pale kurasini.
Timu ya makao makuu ndio ilipiga kambi hapo. Kumbuka Kurasini ndio kwenye hospitali kubwa ya polisi na lazima mfanyiwe vipimo vya afya kipindi Cha usaili hivyo wanafanyia hapo.
Interview ya nn ?Wadau niombeeni niko kw interview hapa,majamaa bdo hawajaingia. Shavurugwa tyr[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wote wanakuja ccp hakuna chuo kingine kwaajili ya kuruta bossMwenye jibu hapa....
Acha tu mzee[emoji3][emoji3] hii nchi ukipata lazima umsahau mwenye njaa
Hapo utumishi hao wasimamizi wanavyokaza na mitihani inavyotungwa unasema hawa jamaa walikuwa wasaka ajira kweli
Kama ule usaili wa ofisi ya bunge ngoma jiwe ukicheki matokeo ni sifuri na namba za viatu kama zote [emoji3].
Hapo ukute mwamba ametoka kigoma na nauli yake anaenda pata sifuri Dodoma
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Anha!! Kumbe ni hapo kurasini.Timu ya makao makuu ndio ilipiga kambi hapo. Kumbuka Kurasini ndio kwenye hospitali kubwa ya polisi na lazima mfanyiwe vipimo vya afya kipindi Cha usaili hivyo wanafanyia hapo.
Kifutuu sio poa shambaKwa Kifutu na Nyankundo?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu unanikumbusha mbali![emoji848] hapo kwenye ndoige.Anha!! Kumbe ni hapo kurasini.
Nilijua Dodoma tena ambapo napopigwagwa ndoige.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu unanikumbusha mbali![emoji848] hapo kwenye ndoige.
Kuna peresuperesu saivi![emoji3]
Mwaka Jana tu degree walitoa tu majina ya watu 97 tu[emoji3]Jina lako kutokea kwenye pdf ya mwisho hususani kwa professionals ni ngumu sana endapo hauna 'God father'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me kuna mshkaji wangu yeye aliingia Jw kwa mara ya kwanza mwaka huu alimaliza Msata ana degree ya ualimu hivi tunavyoongea na yeye kapata shavu yupo Monduli kaingia mwezi wa 12 na mwingine yeye kaenda Poland.Walikaa sana makutopora badae kuna wazee wakapigwa ndoige baada ya usaili....wakasugua tena ndio wakatengwa wenye bachela wakaja DSM kambi ya Abdala twalipo na waliobaki wa diploma wakaenda msata.....Abdala twalipo wakapigwa usaili tena mkali jamaa aliniambia masaa mawili mama.e.......ndio wakapewa namba za ajira za private wakatimka zao TMA dec mwanzoni sahv wanaumia huko.........
Lonja ni kuwa kozi ina watoto wa wakubwa wa kutosha hadi watoto wa CDF huyu mkunda wapo mzigoni na watoto wengine wa majenerali na pia hao proffesionals engineers na doctors wanahitajika haraka wakalitumikie jeshi so dizain kozi itakuwa mtelezo
So mzee ushachelewa.
Interview ipi tena jamaniWadau niombeeni niko kw interview hapa,majamaa bdo hawajaingia. Shavurugwa tyr[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwamba anatuchanganya ujue[emoji28]Interview ipi tena jamani View attachment 2464141
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app