Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

[emoji3][emoji3] hii nchi ukipata lazima umsahau mwenye njaa
Hapo utumishi hao wasimamizi wanavyokaza na mitihani inavyotungwa unasema hawa jamaa walikuwa wasaka ajira kweli

Kama ule usaili wa ofisi ya bunge ngoma jiwe ukicheki matokeo ni sifuri na namba za viatu kama zote [emoji3].

Hapo ukute mwamba ametoka kigoma na nauli yake anaenda pata sifuri Dodoma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio poa inakazwa mpk oral
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sn acha tu
 
Mafunzo ya miezi 9 kila siku unaamka saa 6 kasoro za usiku unasema mserereko?una shida wewe yani huko magereza wenye utimamu kidogo ni hao Kmkm ila wengine ni wala chipsi watoto laini.
Lakin vitani magereza anaenda lakini haendi
 
[emoji3][emoji3] hii nchi ukipata lazima umsahau mwenye njaa
Hapo utumishi hao wasimamizi wanavyokaza na mitihani inavyotungwa unasema hawa jamaa walikuwa wasaka ajira kweli

Kama ule usaili wa ofisi ya bunge ngoma jiwe ukicheki matokeo ni sifuri na namba za viatu kama zote [emoji3].

Hapo ukute mwamba ametoka kigoma na nauli yake anaenda pata sifuri Dodoma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha tu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikaa sana makutopora badae kuna wazee wakapigwa ndoige baada ya usaili....wakasugua tena ndio wakatengwa wenye bachela wakaja DSM kambi ya Abdala twalipo na waliobaki wa diploma wakaenda msata.....Abdala twalipo wakapigwa usaili tena mkali jamaa aliniambia masaa mawili mama.e.......ndio wakapewa namba za ajira za private wakatimka zao TMA dec mwanzoni sahv wanaumia huko.........

Lonja ni kuwa kozi ina watoto wa wakubwa wa kutosha hadi watoto wa CDF huyu mkunda wapo mzigoni na watoto wengine wa majenerali na pia hao proffesionals engineers na doctors wanahitajika haraka wakalitumikie jeshi so dizain kozi itakuwa mtelezo

So mzee ushachelewa.
Me kuna mshkaji wangu yeye aliingia Jw kwa mara ya kwanza mwaka huu alimaliza Msata ana degree ya ualimu hivi tunavyoongea na yeye kapata shavu yupo Monduli kaingia mwezi wa 12 na mwingine yeye kaenda Poland.
 
Wadau niombeeni niko kw interview hapa,majamaa bdo hawajaingia. Shavurugwa tyr[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Interview ipi tena jamani
images_copy_448x484.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom