Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hamna mkuu nilijaribu kuwaza tu kua nchi yetu ina mikoa isiyopungua 30.

Na kila mikoa ina ma ACP wasiopungua wanne.

Nikaja kuwaza pdf ya mwaka jana bachelor 97 tu ndio waliochukuliwa.

Nakajiwaza na mimi na ndio nika conclude hivo.

By the way ulikua mtazamo huru tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pff
pdf la watu 3000 mwaka jana
97 pekee ndio walikua degree holder?
 
Pamoja mkuu kwani mwaka jana pia waliweka msururu wa course za bachelor kama mwaka huu almost wanahitaji degree 67 mwaka huu na kumbuka kila degree ina uhitaji wake apo
 
Pamoja mkuu kwani mwaka jana pia waliweka msururu wa course za bachelor kama mwaka huu almost wanahitaji degree 67 mwaka huu na kumbuka kila degree ina uhitaji wake apo
Mkuu kwa logic ya kawaida.

Sasa mkuu katika hizo nafasi 67 una Godfather wa kukupambania.?

Au ndio tuweke 'too much expectation' afu baadae tuwe disappointed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
saiz ni zaid ya program 50 huko nadhani. uwanja ni mpana mkuu
Mwaka huu wameweka degree programs 66 na kuna nyingine zinahitaji watu 1, 2 na professional nyingine zinagitaji zaidi ya 3 na kuendelea so kwenye kila professional kuna uhitaji wake kaka.

Sasa ukute Doctor wanahitajika 3 halafu Marine engineer 2, accountant 1, maybe lingustic 1 aisee ni bahatii tuu huku electrical engineer 2 huku civil engineer 2 halafu ukute compute 1 au IT master 1. Hapo wameomba watu zaidi ya 100 kwenye professional moja mfano computer au IT
 
bongo kupata ajira ni mtiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…