Unaamini sana kwenye godfather sana mkuu pambana mpaka tone lako la mwisho kapige vizuri usaili acha mambo yako ukikosa tambua haikua yako kama vipi kama unaamini sana hayo maswala haina haja ya kwenda kwenye usaili overMkuu kwa logic ya kawaida.
Sasa mkuu katika hizo nafasi 67 una Godfather wa kukupambania.?
Au ndio tuweke 'too much expectation' afu baadae tuwe disappointed.
Sent using Jamii Forums mobile app