Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu kwa logic ya kawaida.

Sasa mkuu katika hizo nafasi 67 una Godfather wa kukupambania.?

Au ndio tuweke 'too much expectation' afu baadae tuwe disappointed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaamini sana kwenye godfather sana mkuu pambana mpaka tone lako la mwisho kapige vizuri usaili acha mambo yako ukikosa tambua haikua yako kama vipi kama unaamini sana hayo maswala haina haja ya kwenda kwenye usaili over
 
Mwaka huu wameweka degree programs 66 na kuna nyingine zinahitaji watu 1, 2 na professional nyingine zinagitaji zaidi ya 3 na kuendelea so kwenye kila professional kuna uhitaji wake kaka.

Sasa ukute Doctor wanahitajika 3 halafu Marine engineer 2, accountant 1, maybe lingustic 1 aisee ni bahatii tuu huku electrical engineer 2 huku civil engineer 2 halafu ukute compute 1 au IT master 1. Hapo wameomba watu zaidi ya 100 kwenye professional moja mfano computer au IT
Basi ndio maana ukiwa CCP kosa kidogo tu unarudishwa home ili waku replace.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko na panel yako ya kufanya analysis??😂
Mwanangu humu watu tunapigana presha tu,mi. Niliulizwa swali kuwa ni mwaka huu tu polisi wameweka kigezo Cha JKT au hata 2021? Hili swali lipo kwenye pannel yangu ya analysis 😄
 
Back
Top Bottom