Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Kumbe kuna kozi inafanyika duuh ndo najua leo.Watu wapo kozi sahivi
Na lonja inasema mwezi wa pili wanachukua tena
Embu ngoja tuone
Anyway wenye uzi wamesema tunaboa na stori zetu za Tpdf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna kozi inafanyika duuh ndo najua leo.Watu wapo kozi sahivi
Na lonja inasema mwezi wa pili wanachukua tena
Embu ngoja tuone
Natamani niwaeleweshi kuhusu hili ila ngoja nikae kimya , maana hata mbuyu wa Tpdf sina itakuwa haina maana endeleeni kubishana uzi usipoe.Mdau hapo juu kasema kozi imeanza hata wiki mbili hazijaisha sasa mwezi wa pili wanaingizaje intake nyingine
Mkuu una za ndani kabisa.course imeanza ndo ina karibia wiki sahizi ila wanaopiga ni wa millitary science ambao watapiga miezi miwili idadi yao kama 400 hivi, ila bogi la sombasomba halipo mbali ndio litakuwa na 2500+ pamoja na wale wa mafinga na wale waliotoka makutupora kwenye kibog cha madokta
SPEAK UP MWANAUMENatamani niwaeleweshi kuhusu hili ila ngoja nikae kimya , maana hata mbuyu wa Tpdf sina itakuwa haina maana endeleeni kubishana uzi usipoe.
ana nyota tatu Hajaniambia kuchagua either kulipa kwa cheo au elimu
Ndio maana nawauliza wadau maana huku najua wataalamu mpo hii imeekaje ?
Mimi nipo sekta nyingine mkuu sipo kwenye majeshi toka 2019CHief huyo usimuulize hayo maswali kwasasa...mkazanie uzame chomboni ukishaingia ndio mtaongea hayo mambo
Sasa huu uzi si wa mseto polisi, magereza kila kitu kipo humuKumbe kuna kozi inafanyika duuh ndo najua leo.
Anyway wenye uzi wamesema tunaboa na stori zetu za Tpdf.
Sio poa mkuu patakua na balaa humu ingawa sie wengine tupo na Mungu tu maana mbanga wengine hatuna na nimeshajiandaa kisaikolojia kwa loloteWenye mibuyu wanafurahi ambao hawana wamepoa . ila Wale wenye mibuyu ..wakiwaza mibuyu nayo inazidiana nguvu [emoji16] wanapoa kabisa
Kipindi cha PDF patakuwa hapatoshi humu
Nimeshajuta mbonaMmbanga wako akiwa na njaa utajuta sana [emoji16][emoji1787]
Mkuu Hao wa tarehe za mapinduzi ni polisi ?PDF nahisi kuanzia tarehe za mapinduzi na kuendelea ila uhamiaji wale jamaa hawachelewagi kumwaga mkeka
Yeah ni kweli Mungu ndio mbanga MkuuSio poa mkuu patakua na balaa humu ingawa sie wengine tupo na Mungu tu maana mbanga wengine hatuna na nimeshajiandaa kisaikolojia kwa lolote
Huyo jamaa wa ikulu Si umwambia akuchomeke hata uhamiajiNimeshajuta mbona
Mimi natakaHuyo jamaa wa ikulu Si umwambia akuchomeke hata uhamiaji
Kuna jamaa wa ikuru mwingine, nimekutana nae maeno anasema wazee wa kaunda soon wataingia coz naoNimeshajuta mbona
nawapaga nying sana sema vijana hawazizingatii waleta ubishan, kuna uzi ule wa magereza nliwaambia siku ya kutoka za pt na siku ya pili zikatok
Mbona atakuwa kikongwe huyoMimi nataka
Polisi ili nikamkamate jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 1979
Hhaha aise ww jamaa fala sanaMimi nataka
Polisi ili nikamkamate jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 1979
WAzee wa kazi hao,huwa nawakubali sana hususani wale ambao huwa hawajitangazi wanapenda sana kujishusha..Kuna jamaa wa ikuru mwingine, nimekutana nae maeno anasema wazee wa kaunda soon wataingia coz nao