Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu una za ndani kabisa.

Hongera sana chief.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHief huyo usimuulize hayo maswali kwasasa...mkazanie uzame chomboni ukishaingia ndio mtaongea hayo mambo
ana nyota tatu Hajaniambia kuchagua either kulipa kwa cheo au elimu

Ndio maana nawauliza wadau maana huku najua wataalamu mpo hii imeekaje ?
 
Wenye mibuyu wanafurahi ambao hawana wamepoa . ila Wale wenye mibuyu ..wakiwaza mibuyu nayo inazidiana nguvu [emoji16] wanapoa kabisa


Kipindi cha PDF patakuwa hapatoshi humu
 
Wenye mibuyu wanafurahi ambao hawana wamepoa . ila Wale wenye mibuyu ..wakiwaza mibuyu nayo inazidiana nguvu [emoji16] wanapoa kabisa


Kipindi cha PDF patakuwa hapatoshi humu
Sio poa mkuu patakua na balaa humu ingawa sie wengine tupo na Mungu tu maana mbanga wengine hatuna na nimeshajiandaa kisaikolojia kwa lolote
 
Kuna jamaa wa ikuru mwingine, nimekutana nae maeno anasema wazee wa kaunda soon wataingia coz nao
WAzee wa kazi hao,huwa nawakubali sana hususani wale ambao huwa hawajitangazi wanapenda sana kujishusha..
Kuna majamaa fulani walikamatwaga usku wametoka kula bia wapo na pisi zao ,polisi walivyowakuta pale wakawabeba wakaenda kuwapiga virungu sana na kuwaweka lockup ,wale jamaa hata hawaongei lolote kesho yake ndio wakaomba kuongea na simu ,haikupita hata dakika 15 zikaja Vx 2 nyeusi tiiii kuja kuwachukua jamaa kituoni,pale kituoni wakashangaa hawa jamaa jinsi walivyo wastahimilivu na wapole
sasa wale jamaa walikua ni tiss tena kitengo kizito...niliwakubali sana wale jamaa walikua watatu yani wapo kawaida hata hawaongei yani huwez kujua maisha yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…