Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Me sitaki jwtz naitaka upolisi sitaki kukaa kambini kutoka vitambi
 
Me sitaki jwtz naitaka upolisi sitaki kukaa kambini kutoka vitambi
tunafanana mzee ,mfano jwtz ukitaka upige side hustle ngumu sana muda mwingi ni kambini sana ,au umpe mtu mtaji na time yote akufanyie biashara. hata peyi yenyewe sio ndefu ukilinganisha cost patterns za nchi yetu kwa sasa . mfano luteni wa jeshi pamoja na benefits zote analamba 2.3M sasa hii ndio cash ya kukesha kambini muda wote mkuu??
 
wanajeshi mmevamia uzi mungu awe nanyi muende huko. ila kma uko uraiani sio rahisi wazee mtakua mnasikia tu wameanza cozi tayarii ,mara walipita mafinga wakachukua watu, ni kheri kma mnasifa mkafaitia hzi ambazo angalau tulioko kitaa zinaingilika
 
Pt za ndaani

fairness ipo ,ila degree holders usipojuana na fulani kutoboa sali sana wakuu coz waliotuma maombi upande wa degree ni wengi balaa.
ni hayo kwa leo

japo nafahamu watu mnalonja ila mnakausha
Wengine degree zetu tumepigwaa, ikabidi tuombe na jakata la 4, yote kwa yote tuombeane
 
wanajeshi mmevamia uzi mungu awe nanyi muende huko. ila kma uko uraiani sio rahisi wazee mtakua mnasikia tu wameanza cozi tayarii ,mara walipita mafinga wakachukua watu, ni kheri kma mnasifa mkafaitia hzi ambazo angalau tulioko kitaa zinaingilika
Pia wale wa mkoani upinzani mkubwa unatoka kwa karanga mzee, karanga ni wengi maana hawaliamini bogi la JW la mwezi wa 2 , tunywe maji mengi. Zima moto wangelegeza vigezo huu uzi hakuna mtu angesalia maana baba kantuma wangetoshea na wanyonge tungepata maana nafasi zingekuwa nyingi.

Jamaa yangu alikatwa bogi ujenzi yupo tanga alikuwa kanembwa anakuambia zimamoto wenye vigezo kambini walikuwa saba tu(can you imagine?) Hizo nafasi zitaenda wapi sasa??

Tunywe maji mengi safari hii tutapata InshaAllah
 
sio poa afsa ,bdo huu ni muda wetuu
 
Huyo
Huyo luteni kaka utakuta ana form 6 tu anapokea hiyo. Nenda kaulizie nyota mbili ya polisi anapokea ngap mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚ of course polisi utakuw na side hustle za kitaa
 
wanajeshi mmevamia uzi mungu awe nanyi muende huko. ila kma uko uraiani sio rahisi wazee mtakua mnasikia tu wameanza cozi tayarii ,mara walipita mafinga wakachukua watu, ni kheri kma mnasifa mkafaitia hzi ambazo angalau tulioko kitaa zinaingilika
Ni kweli mkuu kutoka kitaa uingie kule lazima uwe na insider asee wakukupa info otherwise tuendelee kupambana na UT tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…