Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Njoo tuongee vzuri PM kaka ...Ndege tai mwanangu wa 825 daah hao kaunda suti tunapataje nafasi mkuu...umri unaenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo tuongee vzuri PM kaka ...Ndege tai mwanangu wa 825 daah hao kaunda suti tunapataje nafasi mkuu...umri unaenda
Tupe lonja mkuu!Natamani niwaeleweshi kuhusu hili ila ngoja nikae kimya , maana hata mbuyu wa Tpdf sina itakuwa haina maana endeleeni kubishana uzi usipoe.
Me sitaki jwtz naitaka upolisi sitaki kukaa kambini kutoka vitambiJwtz inapendwa jamani
Na zile gwanda zao ni full respect kwanza ni nzuri
Ata ukiwa nanga muangujiashi lakini huku uraiani raia wanakuogopa sijui wanakuonaje ukiwa umevaa hii kasumba ipo mpka leo na itaendelea kuwepo
Kitaa mademu waliokukataa kipindi hicho ni saidia fundi na mshati wako ule ule unaopenda kurudia kuvaa miguu imepauka kwa cement wanaanza kujileta [emoji1787]
Wacha wadau wazidi kuipambania
Haya sasa mwageni lonja naona umepoa humu
tunafanana mzee ,mfano jwtz ukitaka upige side hustle ngumu sana muda mwingi ni kambini sana ,au umpe mtu mtaji na time yote akufanyie biashara. hata peyi yenyewe sio ndefu ukilinganisha cost patterns za nchi yetu kwa sasa . mfano luteni wa jeshi pamoja na benefits zote analamba 2.3M sasa hii ndio cash ya kukesha kambini muda wote mkuu??Me sitaki jwtz naitaka upolisi sitaki kukaa kambini kutoka vitambi
Duuh!!! Mungu atusadie...Pt za ndaani
fairness ipo ,ila degree holders usipojuana na fulani kutoboa sali sana wakuu coz waliotuma maombi upande wa degree ni wengi balaa.
ni hayo kwa leo
japo nafahamu watu mnalonja ila mnakausha
Bless us jahDuuh!!! Mungu atusadie...
Wengine degree zetu tumepigwaa, ikabidi tuombe na jakata la 4, yote kwa yote tuombeanePt za ndaani
fairness ipo ,ila degree holders usipojuana na fulani kutoboa sali sana wakuu coz waliotuma maombi upande wa degree ni wengi balaa.
ni hayo kwa leo
japo nafahamu watu mnalonja ila mnakausha
inshallah,utatoboa mkuuWengine degree zetu tumepigwaa, ikabidi tuombe na jakata la 4, yote kwa yote tuombeane
Pia wale wa mkoani upinzani mkubwa unatoka kwa karanga mzee, karanga ni wengi maana hawaliamini bogi la JW la mwezi wa 2 , tunywe maji mengi. Zima moto wangelegeza vigezo huu uzi hakuna mtu angesalia maana baba kantuma wangetoshea na wanyonge tungepata maana nafasi zingekuwa nyingi.wanajeshi mmevamia uzi mungu awe nanyi muende huko. ila kma uko uraiani sio rahisi wazee mtakua mnasikia tu wameanza cozi tayarii ,mara walipita mafinga wakachukua watu, ni kheri kma mnasifa mkafaitia hzi ambazo angalau tulioko kitaa zinaingilika
sio poa afsa ,bdo huu ni muda wetuuPia wale wa mkoani upinzani mkubwa unatoka kwa karanga mzee, karanga ni wengi maana hawaliamini bogi la JW la mwezi wa 2 , tunywe maji mengi. Zima moto wangelegeza vigezo huu uzi hakuna mtu angesalia maana baba kantuma wangetoshea na wanyonge tungepata maana nafasi zingekuwa nyingi.
Jamaa yangu alikatwa bogi ujenzi yupo tanga alikuwa kanembwa anakuambia zimamoto wenye vigezo kambini walikuwa saba tu(can you imagine?) Hizo nafasi zitaenda wapi sasa??
Tunywe maji mengi safari hii tutapata InshaAllah
Huyo luteni kaka utakuta ana form 6 tu anapokea hiyo. Nenda kaulizie nyota mbili ya polisi anapokea ngap mkuu 😂😂 of course polisi utakuw na side hustle za kitaatunafanana mzee ,mfano jwtz ukitaka upige side hustle ngumu sana muda mwingi ni kambini sana ,au umpe mtu mtaji na time yote akufanyie biashara. hata peyi yenyewe sio ndefu ukilinganisha cost patterns za nchi yetu kwa sasa . mfano luteni wa jeshi pamoja na benefits zote analamba 2.3M sasa hii ndio cash ya kukesha kambini muda wote mkuu??
Ni kweli mkuu kutoka kitaa uingie kule lazima uwe na insider asee wakukupa info otherwise tuendelee kupambana na UT tuwanajeshi mmevamia uzi mungu awe nanyi muende huko. ila kma uko uraiani sio rahisi wazee mtakua mnasikia tu wameanza cozi tayarii ,mara walipita mafinga wakachukua watu, ni kheri kma mnasifa mkafaitia hzi ambazo angalau tulioko kitaa zinaingilika
yaah mkuu,lkn c unawajua polisi kwa piliKaaHuyo
Huyo luteni kaka utakuta ana form 6 tu anapokea hiyo. Nenda kaulizie nyota mbili ya polisi anapokea ngap mkuu 😂😂 of course polisi utakuw na side hustle za kitaa
Kabisa mkuu...ukiwa mjanja utakula sana ila ule vizur unaweza kula laana za watu 😂yaah mkuu,lkn c unawajua polisi kwa piliKaa
Bless us jahNi kweli mkuu kutoka kitaa uingie kule lazima uwe na insider asee wakukupa info otherwise tuendelee kupambana na UT tu
AminBless us jah
hahaaaKabisa mkuu...ukiwa mjanja utakula sana ila ule vizur unaweza kula laana za watu 😂