Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ndio maana nilisema na nitaendelea kusema kuwa vijana waliogopa tu kuomba ila waliojaribu wataitwa. Vile vigezo kiuhalisia havipo applicable kwa wengi.
 
Huyo

Huyo luteni kaka utakuta ana form 6 tu anapokea hiyo. Nenda kaulizie nyota mbili ya polisi anapokea ngap mkuu [emoji23][emoji23] of course polisi utakuw na side hustle za kitaa
PT anapokea ngapi mkuu?
 
Huyo

Huyo luteni kaka utakuta ana form 6 tu anapokea hiyo. Nenda kaulizie nyota mbili ya polisi anapokea ngap mkuu [emoji23][emoji23] of course polisi utakuw na side hustle za kitaa
Nyota mbili polisi anachukua ngapi mkuu ?
 
Mimi naona hii ishu ya vigezo huwa wapo makini sana labda uwe na mbanga kweli kweli ndio maana vijana wengi hawakuomba kuogopa kupoteza gharama zao of course unaeza itwa Ila kwenye usaili ukakatwa sasa ndio nini

Mwaka jana magereza waliita usaili mkoani form 4 Hadi form 6 waliitwa ...ila walitaka kuanzia division four ila kwenye usaili wakaenda kuwakata sasa waliwaita wa nini

Ndio hayo hayo unakutana nayo kwenye fire
 
Mkuu upo vizuri sana........nifanyie mpango boss na mimi niingie chomboni
 
Ambao hatuna connection Mambo yanakuwa magumu sn kupata hzi kazi za majeshi. Ukifikiria umesoma kwa shida,bdo upate shida kwny kusaka kaz[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…