Niliwahi sema degree kuna ushindani mkubwa mno tena so wakitotoPt za ndaani
fairness ipo ,ila degree holders usipojuana na fulani kutoboa sali sana wakuu coz waliotuma maombi upande wa degree ni wengi balaa.
ni hayo kwa leo
japo nafahamu watu mnalonja ila mnakausha
Bora huyo ,wengine wanataka kuzama JW ili wabebe totoz mtaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara ya pili unarudia hii kaka,kwel imekuuma sn,t.v ya kichogo
so pdf hii itakua na watu zaidi ya 500?Za chini chini , Uhamiaji wataongeza watu siyo tena 500 ya mwanzo
Tutegemee hivyoso pdf hii itakua na watu zaidi ya 500?
Tutegemeeso pdf hii itakua na watu zaidi ya 500?
Waambie kuna ukimwi na hili zimwi linatafuna Askari wetu wengi SanaBora huyo ,wengine wanataka kuzama JW ili wabebe totoz mtaani
Tupe zingine zandaani UT ?Tutegemee hivyo
Nikipata nitaziletaTupe zingine zandaani UT ?
naona ukanikimbia baada ya kumaliza sensaNikipata nitazileta
Ziletwe ziletweeZa chini chini , Uhamiaji wataongeza watu siyo tena 500 ya mwanzo
Noma sn,nadhan asilimia kubwa ya askari hawako vzr kiafyaWaambie kuna ukimwi na hili zimwi linatafuna Askari wetu wengi Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poti unaogopa kuibiwa kimwana?Bora huyo ,wengine wanataka kuzama JW ili wabebe totoz mtaani
Oya mkuu jana nililala na uji usiku daahkitaa cha moto balaa hzi pdf tuwemo
Unahisi ni kwanini mkuuNoma sn,nadhan asilimia kubwa ya askari hawako vzr kiafya