Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Starehe zilizopitiliza kiasi cha kutokuchunga afya zao. Kna private tukiwa kakata Alikuw anatuhimiza sn tuzichunge afya ze2,hasa wenye ndoto ya kuingia jeshini. Lkn me naon afya ndio kla k2 hata km haun mpango na mambo ya majeshi

Nimekuelewa vzr mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]baka linakuwa bado bichi,macho mekundu kama umekula ngada, juu kipara bado kinachomachoma na sura zao nyeusiii ile moment kuna mwana aliingia karudi yaani anakuangalia kama hakuangalii vile macho yanataka kufunga hayafungi yaan fujo tu.
Hahahaha mkuu umenifurahisha hapa et macho kama yanataka kufunga
 
Uzi mzuri sana huu me naona tungekuwa tunadiscuss ish zote za majeshi yetu sio kubaguana mara wa TPDF waanzishe uzi wao hyo haipendezi makamanda.

NATAMANI WOTE TUINGIE CHOMBONI SIKU TUPATE PARTY YETU TUKIWA ENEO LA RAHA KWA PAMOJA.
Yeah ukiangalia huko juu pia kulikuwa n story za magereza, fire na uhamiaji nashangaa tpdf zinapigwa vita
 
Asee nyingi sana, luten wenyew ndo hawa 22yrs
Maslahi mazuri JWTz nakumbuka masela walioingiaga military science baada ya kutoka kule wakapewa mikopo ya lazima 40m....wapo waliotumia kujenga...wengine wakanunua ndinga. Nakumbuka kuna mwana mmoj yeye akaamua kukubaliana na mwanajeshi mwenzake wa kike wawe wapenzi tu afu hiyo pesa wafanye vitu vya msingi kwa pamoja. Wakajenga na kununua usafiri fresh tu 😂.
 
Yaaani mkopo milioni 40 alafu ya lazima, watanikata kwa miaka mingapi sasa kulipa deni lao yaani freshi tu
 
Maslahi mazuri JWTz nakumbuka masela walioingiaga military science baada ya kutoka kule wakapewa mikopo ya lazima 40m....wapo waliotumia kujenga...wengine wakanunua ndinga. Nakumbuka kuna mwana mmoj yeye akaamua kukubaliana na mwanajeshi mwenzake wa kike wawe wapenzi tu afu hiyo pesa wafanye vitu vya msingi kwa pamoja. Wakajenga na kununua usafiri fresh tu [emoji23].
Hii nilisikia maafisa wa jeshi hawatakiwi kupanda daladala sina hakika lakini.
 
Back
Top Bottom