methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Mkuu wanajuaje kama ww ni LQ wanakuwa na kipimo au vipiIQ ni kirefu cha Intelligence Quotient yani kipimo cha uwezo wa mtu kiakili..kuwaza na kuchakata jambo kisahihi
Kwahyo ukisema mtu ana low IQ ..inamaanisha uwezo wake wa kuchakata mambo ni mdogo