Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama hujui mkuu.
Nirahisi mtu baki kukupigania kuliko ndugu (except mzazi wako).

Undugu wa kiTanzania umekaaga kinafiki sana.
Unajua nini mkuu Haya maisha mara nyingi unakuta wengi waliotoka ni watu baki tu hata sio ndugu waliowapigania ndugu wanawa angalia tu. mtu kama huyo akitoka atakumbuka ndugu kweli .. haya mambo huwa tunasababisha wenyewe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dah kuna sehemu wameniita nijitolee kwa mwaka mzima kwanza huku wakinilipa 650k ndio wanipe kazi kamili..dah njaa hizi unaweza ukakubali afu nafasi zingine za maana zitokee zikupite 😂
 
Sure.

Wale wa kurogo vyungu viongezewe moto.
Wale wa mungu funga na sala ziongezwe

Afu kuna wale wanangu wa liwalo.
Ukiwa na vyote ndio inapendeza sana...watu wengi waliofanikiwa huwa wanaishi vzuri na watu na wana imani sana Na Mungu
 
Dah kuna sehemu wameniita nijitolee kwa mwaka mzima kwanza huku wakinilipa 650k ndio wanipe kazi kamili..dah njaa hizi unaweza ukakubali afu nafasi zingine za maana zitokee zikupite 😂
Hyo ni take home au basic salary...?
 
Dah kuna sehemu wameniita nijitolee kwa mwaka mzima kwanza huku wakinilipa 650k ndio wanipe kazi kamili..dah njaa hizi unaweza ukakubali afu nafasi zingine za maana zitokee zikupite
Kama probation ni 650k ..ukiajiriwa hukosi millioni hapo
 
Wadau wiki ijayo UT wanatema pdf. Tuendelee kuomba maana sio poa kabisa. Tuchakarike kitaa tutafute hela. Ukiitwa usaili uwe na kapoket money kadogo kwa ajili ya mambo madogomadogo ya site.
lonja ya uhakika hii
 
Daaah ila ndgu wengn wana roho ngumu sn. Nachoamin mzee ana uwezo wa kukuvesha bakabaka sema hajaamua tu,ana cheo kikubwa tu kaka,wapo masajent wanawavesha w2 bakabaka sembuse yeye ndgu yangu
Mwanga tu nshamzimia data
 
Unajua nini mkuu Haya maisha mara nyingi unakuta wengi waliotoka ni watu baki tu hata sio ndugu waliowapigania ndugu wanawa angalia tu. mtu kama huyo akitoka atakumbuka ndugu kweli .. haya mambo huwa tunasababisha wenyewe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kabla ya ajira za upolisi mwaka 2021 nilikuwa na ndugu mkubwa tuu huko juu polisi.... Alinisisitiza kuwa ajira zikitoka nimstue na atalishughulikia!!! Baada ya ajira kutoka nikamstua akichonijibu ni kuwa nitapata tuu bila hata yeye, hakuuliza majina wala kikosi wala ninii akapita hivi.!!!

Mwanzoni mwa mwaka 2022 nikamfahamisha mtu mmoja ambaye sio ndugu wala nini shida yangu ya kutaka kujiunga huko, nae ni polisi na ni mmama... Alisikita sana nimechelewa kumwambia kwani alipewa nafasi tatu na hakuwa na mtu mwenye vigezo ilimbidi azikatae..!!
Lakini aliniambia nisife moyo zikitoka nyingine nimtafute!! Haya sasa zinetoka yeye ndio alianza kwanza kunitafuta, kuniuliza details zote na kuahidi kunishughulikia!! Hadi sasa naona mwanga!!

Huyu mtu ni mtu baki na ameniona mara moja tuu physically..na hapo ni upande wa PT.

The same thing kwa vyombo vingine...

Ndugu bwa kweli sio damu wakuu.. hawa ndugu wa damu ukitoa wazazi mara nyingibwao tuu ndio wanapenda kuwa juu!!
 
Amin ndugu wa damu miyeyusho tu sometimes Sasa me nilikuwa nataka niingie kwenye vyombo vya usalama kuna ndugu mwingine akawa anawajaza watu wa connection et me namkatalia kuingia kwenye ualimu Sasa me na kigugumizi changu nikamfundishe mtt wa nani atanielewa pumbav zake
 
Kabla ya ajira za upolisi mwaka 2021 nilikuwa na ndugu mkubwa tuu huko juu polisi.... Alinisisitiza kuwa ajira zikitoka nimstue na atalishughulikia!!! Baada ya ajira kutoka nikamstua akichonijibu ni kuwa nitapata tuu bila hata yeye, hakuuliza majina wala kikosi wala ninii akapita hivi.!!!

Mwanzoni mwa mwaka 2022 nikamfahamisha mtu mmoja ambaye sio ndugu wala nini shida yangu ya kutaka kujiunga huko, nae ni polisi na ni mmama... Alisikita sana nimechelewa kumwambia kwani alipewa nafasi tatu na hakuwa na mtu mwenye vigezo ilimbidi azikatae..!!
Lakini aliniambia nisife moyo zikitoka nyingine nimtafute!! Haya sasa zinetoka yeye ndio alianza kwanza kunitafuta, kuniuliza details zote na kuahidi kunishughulikia!! Hadi sasa naona mwanga!!

Huyu mtu ni mtu baki na ameniona mara moja tuu physically..na hapo ni upande wa PT.

The same thing kwa vyombo vingine...

Ndugu bwa kweli sio damu wakuu.. hawa ndugu wa damu ukitoa wazazi mara nyingibwao tuu ndio wanapenda kuwa juu!!
Ni kweli kabisa

Sasa huyo ndugu mkubwa siku akistaafu akitaka umchomeke mwanae ukimjibu kama alivyokujibu utakuwa umekosea kweli ?

Ndugu ni wazazi wako na yule aliyezaliwa naye tumbo moja kidogo ana huruma nawewe hawa wengine hamna kitu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya ajira za upolisi mwaka 2021 nilikuwa na ndugu mkubwa tuu huko juu polisi.... Alinisisitiza kuwa ajira zikitoka nimstue na atalishughulikia!!! Baada ya ajira kutoka nikamstua akichonijibu ni kuwa nitapata tuu bila hata yeye, hakuuliza majina wala kikosi wala ninii akapita hivi.!!!

Mwanzoni mwa mwaka 2022 nikamfahamisha mtu mmoja ambaye sio ndugu wala nini shida yangu ya kutaka kujiunga huko, nae ni polisi na ni mmama... Alisikita sana nimechelewa kumwambia kwani alipewa nafasi tatu na hakuwa na mtu mwenye vigezo ilimbidi azikatae..!!
Lakini aliniambia nisife moyo zikitoka nyingine nimtafute!! Haya sasa zinetoka yeye ndio alianza kwanza kunitafuta, kuniuliza details zote na kuahidi kunishughulikia!! Hadi sasa naona mwanga!!

Huyu mtu ni mtu baki na ameniona mara moja tuu physically..na hapo ni upande wa PT.

The same thing kwa vyombo vingine...

Ndugu bwa kweli sio damu wakuu.. hawa ndugu wa damu ukitoa wazazi mara nyingibwao tuu ndio wanapenda kuwa juu!!
Upo sahihi kabisa.
 
Huyo ndio mtu sasa...na hata ukifanikisha huyo usije ukamuacha awe kama ndugu yako kabisa na usiache kusaidia watu wengine chief
 
Back
Top Bottom