Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et na kigugumizi changu
 
mkuu hv TPA na PT mbona kama mbingu na ardhi. bdo siamini kama unaweza kuikacha kazi ya bandarini na kujitosa polisi ama UT. vp mzee ama mchongo wako hpo sio wa kudumu??
 

Hii kitu vijana inatufelisha sana uaminifu ni jambo la muhimu sana jamani asa jamaa kuchukulia kila kitu mazoea ona kafukuzwa.

Kuna uzi mpyampya wa Analyse amezungumzia kitu kama hiki mtu kachukulia kawaida kabeba peni sio yake akafelishwa kwenye kazi.

Wakuu yoyote ataebahatika kuingia chomboni mazoea tuache ni bora uombe kuliko kuchukua kinyamela ndo maana kuna kuwa na ukaguzi mkiwasili.
 

Kweli kabisa mkuu, yaani sijui wabongo tunaishije aisee!!

Nina broo wangu (mtoto wa kakaake mama) apo kitengo kule TMA, sasa jombaa kila uchwao ananipiga fiksi leo hili kesho lile sometimes nikimtafuta anakausha hajibu kitu damn!!
Nikaona sio kesi kila mtu apambane na kitu yake[emoji706]

Wazazi wako pekee ndiyo wanaeza kukupigania kivyovyote ili ufanikiwe na sio hawa ndugu eti damu shiiit[emoji57]

Na watu usiohata na ukoo nao ndiyo wanaeza pia kukupush sana kuliko hao ndugu pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa upo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et na kigugumizi changu
Noma Mzee sauti inakwamakwama tu mdomoni[emoji28]
 
Kaka watu ni nyomi,bonge la nyomi siyo la kitoto tena
 
Kuna mwamba mmoja nilisoma nae kuanzia kidato cha pili
Huyu mwamba alikuwa anaitwa Dickson(jina lake la pili na la tatu lilikuwa ni jina la mjeshi aliyekuwa na cheo cha captain kipindi cha vita ya kagera alikuwa ni rubani wa Mig-21)

Huyo jamaa now ni mjeda ila kwasasa yupo nchi za nje anakula kozi ya ukomando (huyu mwamba ni komando by nature)

Kulingana na jina lake shule walimu walikuwa wanamuogopa saana (kiufupi jamaa aliishi kwa raha ilifikia hatua mwamba anafua siku ya sabato na hafukuzwi shule kisa kuhofia jina la baba yake)

Baada ya kumaliza shule kidato cha nne kipindi natafuta nafasi ya PT alafu naona shemeji ananizingua nikakumbuka kuwa nilisoma na mtoto wa mkubwa na alikuwa ni rafiki yangu saana

Nikampigia simu mwamba kumwambia nia yangu akacheka saana akaniambia

"Bachelor mimi ni mtoto wa fundi seremala na mama yangu ni mvunja kokoto sina connection yotote na pale nilivyokuja shuleni kwenu nilikuwa nimekuja kurudia shule baada ya kufeli form four hilo jina la huyo mkubwa nilijipa baada ya kuwa nimeshakaa saana mtaani na kugundua kitaa kinataka nini na mimi kujua nataka nimi so kwa kuwa nilikuwa nataka jeshi ndio nikaja na hiyo mbinu ya kutumia jina ls mkubwa"


●Jamaa kweli kutumia lile jina kumemsaidia saana kuanzia shule mpaka kupenya JW (msishangae kuona miaka ya mbele kuna komando mwenye ubini wa CDF mstaafu)
●mwamba ni genius haswa baada ya kuona hana connection akatumia mbinu za kimedani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanatajua hawajui siku wasikie mipakani kimenuka askari waage wapendwa wao muda wa kuwa kazikazi umetaradadi..

Juu uko nimesoma kuna washkaji nao walipenda PT wakasikia tukio la Hamza na PT darajani salender wakataka ghairi[emoji28][emoji28][emoji28]

Hizi kazi tunazipenda Lakin ikifikia hatua ya Ukraine na Russia tutafarakana"speaking of Ndege Tai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…