Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

NGOJA JUMATATU WATU WAKAFANYE USAILI THEN WATALETA USHUHUDA HUMU NDANI..
 
Ni sahihi kuna baadhi ya vijana(kada ya afya) wamepigiwa simu,makutano ni Kurasini Police Barracks.
 
Hapa ndo utajua kwanini wazee wa kukamata bodaboda wanaitwa "Tigo"

Hahahahah..
Tigoooo.. EXPRESS YOURSELF
 
Ukiitwa basi kweli una zali..waombaji ni wengi mistake moja tu unatupwa nje..
Mkuu hili tangazo la juzi..hawajasema.na barua ya utambulisho namie nishatuma tyr,kwahyo ntakua DISQUALIFIED?Na Kuhusu leaving,nimeattach ya form4 na form 6 tu..ila ya la7 sijaAttach,Vipi hapo pia?
 
Mkuu hili tangazo la juzi..hawajasema.na barua ya utambulisho namie nishatuma tyr,kwahyo ntakua DISQUALIFIED?Na Kuhusu leaving,nimeattach ya form4 na form 6 tu..ila ya la7 sijaAttach,Vipi hapo pia?

Utakua ni umezidisha ushindani yan utapita bila kupingwa..!all the best afande
 
Utakua ni umezidisha ushindani yan utapita bila kupingwa..!all the best afande
mkuu naomba nijibu swali la kua disqualified hilo..sijakuelewa Bro[emoji120],pia nimezidisha ushindani kivipi?
 
Haina effect***
Hayo ma Leaving wakikuita usaili huko Ndo watabna lakini hatua hii ya Awali haina Effect...Ukiitwa Usaili usisahau leaving zako zote na viambatanisho vyako Vyote original Asee...
 
Afu kwel kama masiara ivi watu j3 wanafanya usaili .. Sema bado mchakato unaendelea
Najua hamuamini amini ila no suurender wazee mpk watu wafike ccp
 
Mkuu hili tangazo la juzi..hawajasema.na barua ya utambulisho namie nishatuma tyr,kwahyo ntakua DISQUALIFIED?Na Kuhusu leaving,nimeattach ya form4 na form 6 tu..ila ya la7 sijaAttach,Vipi hapo pia?
Ukiitwa Usaili Kigezo kimojawapo ni Kuwa na Viambata Vyote yaani kufuzu nakuingia chumba Cha kusailiwa.Kwa hiyo jitahidi Sana unapoenda kama Ukiitwa Usaili Usisahau Leaving zako zote Original.Na Pia namba Yako ya NIDA au Kitambulisho Usisisahu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…