Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna tabia moja ya kupenda kuwakadiria watu wengine. Kwamba tunafanya jambo, alaf tunapiga hesabu kuwa Mhusika hawezi kukasirika, au hatomind.

Mtu chake mazee. Kabla ya kugusa kisichokuhusu, omba kwanza ruhusa, hata kama muhusika ni mpole na muelewa.
 
Leaving certificate [emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema waliitaja kwenye tangazo pamoja na Medical certificate
Unajua pale kwenye vigezo wakisema ''mtu awe na afya njema ya kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari'' kwaio io medical ilikuwa muhim Kwan itaonesha uko sawa kwaio ilikua lazima kabisa
Alaf kuhusu leaving certificates watu wengi hawana kabisa Kama nacho kilikua kigezo na kwl kilikuwepo kwenye vitu vya kuambatanisha Basi tutakatwa wengi.
 
Narudia hili swala medical report haikuitajika kuambatanishwa kwenyw documents za kutuma, ila leaving certificates zilihitajika maana ilikuwa ni requirement zao.
 
Hii issue ya LIVING hii inasepa na kijiji bora hiyo medical form kidogo baadhi walikumbuka.
 
UT waliiweka? Maana sikumbuki Tangazo
 
Usiseme watu wengi hawana hiyo leaving certificate, hehehehe watu kibao wanazo hizo leaving mbna me nishafanya saili nyingi nyingi unakuta watu wanaleaving hadi za primary kaka we yaache tuombe tu mungu
 
Narudia hili swala medical report haikuitajika kuambatanishwa kwenyw documents za kutuma, ila leaving certificates zilihitajika maana ilikuwa ni requirement zao.
Suala la medical report ndio litakuwa wanaonea watu apo,bora leaving walispecify kabisa iwepo ila medical report asee wanangu sana itakuwa so fear
 
mkuu tuombe MUNGU tu ila medical and leaving certificates ilihitajika kwenye tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…