Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

mkuu unafikiri nikwanini hukutoboa usahili wa UT uliopita?
Niliattach tu Transcript tu ya chuo.. Mana cheti kilikua hakitajatoka that time!!.. Kwahyo nahisi hii ndo sababu, au labda ndo hivo sina mibuyu labda.... Au sijui time yangu haikuwa bado?? I don't know,,, niliwazaga vitu vingi sana aicee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama watakata watu kwa hiyo medical certificate itakuwa unfair , haikuwepo kwenye viambatanisho vya maombi .
yaah, hta humu tulibishana sana kuwa utawa pruvu vipi kuwa una afya njema tena uthibitishwe kutoka kwa dokta wa serikali? wapo walio weka na mimi nikiwemo kote UT&PT.
 
Uzi wako ule natembea nao kichwani kaka.
 
Hapana ,medical certificate haikuwa kwenye viambatanisho ,hivyo sio necessary ,fuateni tangazo lilitaka nini , kwemye section ya viambatanisho means documents walizohitaji .
Narudia Tena '' awe na afya njema ya kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa serikali''

Sasa hapo bila kithibitisho Cha daktari ambacho n medical form watajuaje?
Kwaio ilikua lazma kabisa kukiweka
 
Narudia Tena '' awe na afya njema ya kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa serikali''

Sasa hapo bila kithibitisho Cha daktari ambacho n medical form watajuaje?
Kwaio ilikua lazma kabisa kukiweka
Watakuwa wameonea watu maana kwenye viambatisho hawajaweka labda kama wanataka kupunguza kuweka watu wao Full stop!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…