Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jakata ya wapi inamchukua mujibu kupiga kozi ya volunteer? Unabust kozi poti? Watakwambia vyeti ivo ni sawa na ni kweli wanaviweka uzito Sawa (mujibu na kujitolea)
Labda asiseme kama alikuwa muijibu
Sema sahivi wapo wiki Kama ya tano hivi mda si mrefu watasomewa force number asubiri mwakani

Hivi kama una banga ukipata force number kwa walio makambini mda huu si ccp unaenda chap ? Au inakuwaje ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Njoo PT kijana . Kwa kada yako unakunja si chini ya 2m baada ya makato. Unawapiga gap hata mainspector wenye degree zingine ila cheo ndio utasubiri.
Ila ukipata JWTZ mabegani na mpunga vinaenda pamoja.
Kaka tumeshaongea naelewa huu mwezi kitaeleweka .Mitego yote ya uraiani au UT na JW ikibuma nitapambania huko PT nitavamia hata course 😂 . Ila Mungu mwema mwanga nauona nazidisha maombi. God will open doors
 
Labda asiseme kama alikuwa muijibu
Sema sahivi wapo wiki Kama ya tano hivi mda si mrefu watasomewa force number asubiri mwakani

Hivi kama una banga ukipata force number kwa walio makambini mda huu si ccp unaenda chap ? Au inakuwaje ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maombi si yameshqfungwa mkuu. Huko ccp unaenda bila maombi . Unless u have someone nyuma yako.
 
CCP kuna police science na course za ICT tu. Police science na masomo ya advance ya science hakuna uhusiano.Labda kama plan yao ni kuwasomesha mambo ya forensics huko mbeleni maana hata wale waliokuw na ufaulu mzuri wa masomo ya sayansi form four waliingizwa forensic bureau
Cjui kwa undani zaidi wala sijui iwe na uhusiano isiwe na uhusiano ila hiyo ni lonja ya ukweli.ijaongea mimi
 
CCP kuna police science na course za ICT tu. Police science na masomo ya advance ya science hakuna uhusiano.Labda kama plan yao ni kuwasomesha mambo ya forensics huko mbeleni maana hata wale waliokuw na ufaulu mzuri wa masomo ya sayansi form four waliingizwa forensic bureau
Kingine tusikariri Mambo yanabadilika kila siku hasa baada ya Dunia ya utandawazi na sayansi
 
Back
Top Bottom