mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Very much true so sishangai Mr Banks anavyotafuta mibanga ya JW๐๐๐๐ ila PT as long as utakuw kitaan basi ufanye juhudi zako binafsi
sema PT Mwenye degree pamoja na other benefits anagusa takriban 1.4 M kitu ambacho sio kibaya sana . na polisi wana heka heka za kuishi kitaa nyingi. jeshi unakua upo kambini muda mwingi sanaVery much true so sishangai Mr Banks anavyotafuta mibanga ya JW๐๐๐๐ ila PT as long as utakuw kitaan basi ufanye juhudi zako binafsi