Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Very much true so sishangai Mr Banks anavyotafuta mibanga ya JW๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila PT as long as utakuw kitaan basi ufanye juhudi zako binafsi

sema PT Mwenye degree pamoja na other benefits anagusa takriban 1.4 M kitu ambacho sio kibaya sana . na polisi wana heka heka za kuishi kitaa nyingi. jeshi unakua upo kambini muda mwingi sana
 
W
Nikiwaambia mtaona nawachawia mm mbanga nnao wa PT ndo mana sjaomba mna nikiomba lazima niende tena ni medic mimi nasubiri mtipidii ukigoma huo December mwakaa huu tukutane CcP
We jamaa kama una connection nenda PT kumbuka JW mwaka jana wamechukua medics na engineer na saivi wapo monduli kama una connection ya JW bas fresh lakin kama huna itakula kwako shauri yako.
 
Lonja nyengine ya nguvu ni hii ukiona jina lako limechaguliwa kwenda kufanya usaili wa polic una asilimia kubwa za kupita kutokana watu watakao waita watakuwa km idadi Yao wanayoitaka wao labda uwe na ukimwi au kimo kiwe kifupi
We blaza wewe umeongea na walio fanya usaili mwaka Jana???? Watu wengi hawakupita usaili
 
Achana nae huyo kuna vigezo vina reason bhana hiyo medical report sidhani kama eti ndo kiwe kigezo cha kukata watu sidhani
Usidharau vitu unavyoviona "vidogo" especially kwenye sahili zinazohusisha watu wengi. PT HQ wanaweza wakarusha taulo ila UT wanaweza tumia kama kigezo cha kupunguza watu to the lowest number they can accommodate for interview. Don't underestimate such small details especially kwa UT yenye nafasi chache.
 
Lonja nyengine ya nguvu ni hii ukiona jina lako limechaguliwa kwenda kufanya usaili wa polic una asilimia kubwa za kupita kutokana watu watakao waita watakuwa km idadi Yao wanayoitaka wao labda uwe na ukimwi au kimo kiwe kifupi
Ni hatua ya kwanza kuingia chomboni ila sio kwamba utakuwa na asilimia kubwa ya kupita. Wataitwa wengi tu. Ila wachache ndio wataingia chomboni.
 
Kaka usiache kuwaambia vijana hizi kazi zina changamoto kubwa sana kuliko tunavyofikiria..kwahyo watu msizame chomboni kwa kigezo cha mshahara utaenda kujuta baada ya miaka kadhaa

Uaskari sio kuvaa uniform ni kazi ya kujitoa na kupambana kweli kweli
Tufungue mioyo yetu kwa asilimia zote ..kazi usipoipenda ni kazi kweli kweli
 
Bora niwe najuta lkn Kila mwisho wa mwezi nna 1.5m+ kuliko kua kitaa na furaha halafu mwisho wa mwezi nna sifuri
 
Usidharau vitu unavyoviona "vidogo" especially kwenye sahili zinazohusisha watu wengi. PT HQ wanaweza wakarusha taulo ila UT wanaweza tumia kama kigezo cha kupunguza watu to the lowest number they can accommodate for interview. Don't underestimate such small details especially kwa UT yenye nafasi chache.
noted mkuu
 
Kaka usiache kuwaambia vijana hizi kazi zina changamoto kubwa sana kuliko tunavyofikiria..kwahyo watu msizame chomboni kwa kigezo cha mshahara utaenda kujuta baada ya miaka kadhaa

Uaskari sio kuvaa uniform ni kazi ya kujitoa na kupambana kweli kweli
Tufungue mioyo yetu kwa asilimia zote ..kazi usipoipenda ni kazi kweli kweli
Upo sahihi kabisa. Likitokea timbwili asee itakuhitaj uwe jasiri sana na kufanya less mistakes otherwise unapoteq. Ndio maana mtakaofanikiwa kwenda mafunzoni mkienda porini unaweza ukawachukia sana wakufunzi kule kwan watakufundisha kwa kukukazia sana ili upunguze mistakes timbwili likitokea so that u can also preserve ur life...

I remember mkufunzi mmoja aliwah kusema kiutani ...kusema kwa nn mabio ni mwanzo mwisho kwa Pt...akasema utayatumia pale adui atakapokuzidi nguvu ukimbie...at least u can save ur life and regroup to attack him strongly ๐Ÿ˜‚

Sasa wewe tegea meaning afu siku ndio likukute tukio
 
Back
Top Bottom