SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Hilo sio la muhimuUpo chomboni tayar au bado una seek?
Daah mbona unakaa kizembe ivyo, Yani connection Iko na Yuko mtu mmoja tu katikati alf unashindwa kucheza naeBroh siyo mimi mbna ni mshikaji wangu tena nilimfanyia maombi kupitia simu yangu
Anatuchora huyoDaah mbona unakaa kizembe ivyo, Yani connection Iko na Yuko mtu mmoja tu katikati alf unashindwa kucheza nae
[emoji3]Hilo sio la muhimu
Natamani sana angekuwepo poti wa UT humu atupe lonja . Tunakosa mambo ya UT humu.Tizi ni muhimu mkuu, hata kwenye maisha ya kawaida
Swali langu ilikua ni nature ya kozi za UT na PT zipo sawa au vipi? Maana kuna mwaka UT walikua wanapiga kozi pamoja na PT pale CCP
UT nyeti, ni finyu, pia watu wa visiwani sana ndio wana zandaani sana mkuu?Natamani sana angekuwepo poti wa UT humu atupe lonja . Tunakosa mambo ya UT humu.
Yani mtu umfanyie maombi alafu ashindwe kukuunganisha?? Michoro hii sio poa wakuuWazee tuache unafiki wa kuchorana
Japo mwaka jana sikuomba ila lile nyomi la wazanzibari kuitwa Boma lilikua sio poa wapo nyomi hatariUT nyeti, ni finyu, pia watu wa visiwani sana ndio wana zandaani sana mkuu?japo
Uzi utoto ushaanza kutawala.Yani mtu umfanyie maombi alafu ashindwe kukuunganisha?? Michoro hii sio poa wakuu
Kwa hiyo waliosoma wakiwa watahiniwa wa kujitegemea (Praivate Candidates) wote hapo hawana chao jeshini maana huwa hawapewi 'leaving certificates' wale.I am certain boss...kama mambo yakienda kama yalivyopangwa basi kuanzia tarehe za mapinduzi pale wataita...sema walioomba ni wengi kinoma kama hauna connection kuitwa kwenye interview basi uwe umewatimizia kila walichoomba...naambiwa wengi hawajaweka leaving certificates wanawatema...
Kuna vigezo vinachekesha sana bossKwa hiyo waliosoma wakiwa watahiniwa wa kujitegemea (Praivate Candidates) wote hapo hawana chao jeshini maana huwa hawapewi 'leaving certificates' wale.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ninoma mkuuJapo mwaka jana sikuomba ila lile nyomi la wazanzibari kuitwa Boma lilikua sio poa wapo nyomi hatari
lkn hajakosea mkuu. coz analinda privacy yakeUzi utoto ushaanza kutawala.
Kama unamibuyu , tupe lonja bila kutu rarua mioyo watafutaji wengine, unajua situation ambayo watu wanaJifeel ambao hawajui pakushika na wanasubir kudra za mwenyezi, kuna wana kibao wanasubir kudra za mwenyezimungu kuliko mibuyu.
Hajalinda inavyotakiwa otherwise ni kwavile jukwaa hurulkn hajakosea mkuu. coz analinda privacy yake
leaving certificates huonyesha tarehe na mwaka uliozaliwa,huenda wanataka kuwabana wanao danganya umri .Kuna vigezo vinachekesha sana boss
eti living certificates.
Yaan vituko hii Nchi vituko haviishi.
Kweli kabisa mkuuNatamani sana angekuwepo poti wa UT humu atupe lonja . Tunakosa mambo ya UT humu.
Mwaka huu wazenji wamepewa nafasi 500 za PT.Ni kweli mwaka Jana wazenji walikuwa nyomi hadi waliokosa vigezo
Yani ni vituko sana, hii yote ni kwa sababu vijana wengi wamekosa ajira, kwa hiyo kimbilio lao ni kokote sasa kwa kuwa jeshi limetoa nafasi, kwa kuwa mtu hana kazi anaona bora akabeti huko ila sio kwamba anapapenda jeshini, mwishowe ndio kujaza nafasi vijana wanaopenda jeshi maana wanakosa nafasi, ndio inasababisha pia kwenye usaili kunakuwa na nyomi na wasakatonge na vigezo kuwa kama vya kwenda Akhera kumbe ni kwenda kujila na kulinda nchi (pamoja na hayo kuna wana wanapenda hivyo hivyo).Kuna vigezo vinachekesha sana boss
eti living certificates.
Yaan vituko hii Nchi vituko haviishi.
Baadhi ya watu wamejilipua mzee kapiga mujibu Kisha akarudi kujitoleaJakata ya wapi inamchukua mujibu kupiga kozi ya volunteer? Unabust kozi poti? Watakwambia vyeti ivo ni sawa na ni kweli wanaviweka uzito Sawa (mujibu na kujitolea)