Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Yani mtu umfanyie maombi alafu ashindwe kukuunganisha?? Michoro hii sio poa wakuu
Uzi utoto ushaanza kutawala.
Kama unamibuyu , tupe lonja bila kutu rarua mioyo watafutaji wengine, unajua situation ambayo watu wanaJifeel ambao hawajui pakushika na wanasubir kudra za mwenyezi, kuna wana kibao wanasubir kudra za mwenyezimungu kuliko mibuyu.
 
I am certain boss...kama mambo yakienda kama yalivyopangwa basi kuanzia tarehe za mapinduzi pale wataita...sema walioomba ni wengi kinoma kama hauna connection kuitwa kwenye interview basi uwe umewatimizia kila walichoomba...naambiwa wengi hawajaweka leaving certificates wanawatema...
Kwa hiyo waliosoma wakiwa watahiniwa wa kujitegemea (Praivate Candidates) wote hapo hawana chao jeshini maana huwa hawapewi 'leaving certificates' wale.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Uzi utoto ushaanza kutawala.
Kama unamibuyu , tupe lonja bila kutu rarua mioyo watafutaji wengine, unajua situation ambayo watu wanaJifeel ambao hawajui pakushika na wanasubir kudra za mwenyezi, kuna wana kibao wanasubir kudra za mwenyezimungu kuliko mibuyu.
lkn hajakosea mkuu. coz analinda privacy yake
 
Kuna vigezo vinachekesha sana boss
eti living certificates.
Yaan vituko hii Nchi vituko haviishi.
Yani ni vituko sana, hii yote ni kwa sababu vijana wengi wamekosa ajira, kwa hiyo kimbilio lao ni kokote sasa kwa kuwa jeshi limetoa nafasi, kwa kuwa mtu hana kazi anaona bora akabeti huko ila sio kwamba anapapenda jeshini, mwishowe ndio kujaza nafasi vijana wanaopenda jeshi maana wanakosa nafasi, ndio inasababisha pia kwenye usaili kunakuwa na nyomi na wasakatonge na vigezo kuwa kama vya kwenda Akhera kumbe ni kwenda kujila na kulinda nchi (pamoja na hayo kuna wana wanapenda hivyo hivyo).

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom