Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

[emoji16][emoji16]unaa ni muhimu sana kwenye majeshi sema usizidi sanaaa maana unaweza fanya wengine wanaonekane hawapo serious

Hapo wadau wanaanza kukuona snitch mjuaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwenye competition yoyote ya kazi sometimes those who shows something "extra" au huo unaouita unaa katika kitu flan basi hupata nafasi kiurahisi kwani ndio huonekana wana uhitaji zaidi na wako serious zaidi...kumbuka ni competition so kama mtu anaonesha unaa muache anapigania maisha yake ndio maana kaamua kuuweka huo unaa.

Nakumbuka mwaka jana msela mmoja alipita usaili wa mkoani intake iliyopita kwa kuwa smart tu. Yan akapiga low hair cut kama ya polisi, shave ndevu zote...suruali ya kitambaa kanyoosha panga safi kinaa kachomekea, kiatu chini kang'arisha kinaa kama polisi ukijiangalia unajiona. Basi RPC alivyomuona tu akamwambia moja kwa moja wewe nenda tu nyumbani umeshapita kwa kuwa alikuw smart kati ya vijana 300+ alikuwa kati ya 30 waliochukuliwa mkoa ule.Na sasa kabaki kama mkufunzi CCP. So wakati mwingine unaa wenye faida ni muhimu. Kazi ni struggle.
 
Noted[emoji848]
 
[emoji16]mwamba alitisha

Na hivi ukipiga kozi ccp kumbe unaweza baki kama mkufunzi

Huwa wanaangalia vigezo gani ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kubaki CCP ni post kama post zingine tu. Kama watu wanavyopelekwa huko mikoani so nayo ni post. Kwa hiyo ukikuta mikoa yote inamalizika jina lako hulisikii ujue CCP panakuhusu. Vigezo wanajua wenyewe ila ukibak pale unakuwa mkufunzi na unaongeza posho ya ukufunzi kwenye marupurupu yako ambayo ni 50% ya mshahara wako.
Khe!! Kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majina ya walioitwa kazini hayakutolewa. Walisema waliochaguliwa wametumiwa email kwaiyo waangalie inbox zao, ambao hawakupata email basi ndio wamekosa. Sa Kuna nn apo?
Duh ,hivi vituko sasa
 
Inawezekana Kabisa waombaji wa uhamiaji wapo wengi kuliko PT kwenye hizi ajira Sababu watu wengi wasikuwa na jakata pia walijaribu kuomba me pia nipo nao mtaani nawajua wengine graduates alivyoona uhamiaji wametoa akasema me polisi siombi tena nakomaa na uhamiaji wakinitema basi hii ipo kwa wengi wanapakubali sana UT ,kuna wengine marafiki zangu wanalo jakata sema wanasema mazoez ya UP ni magumu siombi upolisi naomba uhamiaji tu ✍️😅😅
UT chimbo kali mzee
 
Hiyo medical form sija i attach maana nilipoiona haipo kwenye requirements nikapiga chini.

Leaving certificate nayo sina kwahiyo kwenye attachment pale sijaiweka.

Nilijaribu kuwauliza mates Kama Kuna mtu alipewaga leaving certificate shuleni ila kila mtu anakataa which means shule haikutoa hiyo leaving.

Sent using Jamii Forums mobile app
leaving kma haikutoka shuleni kwenu. una request upya mkuu wako wa shule anaisaini
 
[emoji445]Naapa naahidi mbele ya Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa,

Tanzania ningali mtoto mdogo nimepewa jukumu la kukulinda wewe..Naapa naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa[emoji445]
Umenikumbusha machanger...
Mimi nilikuwa napenda ile "Shuu shuu shumbweeela mama shuu shuu shumbweeela
 
Back
Top Bottom