Kwenye competition yoyote ya kazi sometimes those who shows something "extra" au huo unaouita unaa katika kitu flan basi hupata nafasi kiurahisi kwani ndio huonekana wana uhitaji zaidi na wako serious zaidi...kumbuka ni competition so kama mtu anaonesha unaa muache anapigania maisha yake ndio maana kaamua kuuweka huo unaa.[emoji16][emoji16]unaa ni muhimu sana kwenye majeshi sema usizidi sanaaa maana unaweza fanya wengine wanaonekane hawapo serious
Hapo wadau wanaanza kukuona snitch mjuaji
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nakumbuka mwaka jana msela mmoja alipita usaili wa mkoani intake iliyopita kwa kuwa smart tu. Yan akapiga low hair cut kama ya polisi, shave ndevu zote...suruali ya kitambaa kanyoosha panga safi kinaa kachomekea, kiatu chini kang'arisha kinaa kama polisi ukijiangalia unajiona. Basi RPC alivyomuona tu akamwambia moja kwa moja wewe nenda tu nyumbani umeshapita kwa kuwa alikuw smart kati ya vijana 300+ alikuwa kati ya 30 waliochukuliwa mkoa ule.Na sasa kabaki kama mkufunzi CCP. So wakati mwingine unaa wenye faida ni muhimu. Kazi ni struggle.