blactrader
Member
- Jun 8, 2016
- 6
- 10
Huu uzi unaonekana umejaa wasomi sana alafu ni wasomi ambao bado wanakasumba ya kujiona wao ni bora kuliko wengine na wanastaili kuliko wengine jambo ambalo si kweli ata kama mtu ameishia darasa la saba anaweza akawa na IQ kubwa kuliko aliefika level ya degree kwasababu ata chuoni tuliona mengi yaliyosababisha tujiulize utashi wa mtu fulani kupembua mambo, Kwahiyo swala la mtu kusumbua kazini au kwenye ajira sio la darasa la saba B au degree ni utashi wa mtu binafsi. Anyways i think kila mtu anavutia upande wake apo ndo pale jeshini walikuwa wanasema ukiona wameenza kufarakana ujue dawa imeanza ingia.