Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Huu uzi unaonekana umejaa wasomi sana alafu ni wasomi ambao bado wanakasumba ya kujiona wao ni bora kuliko wengine na wanastaili kuliko wengine jambo ambalo si kweli ata kama mtu ameishia darasa la saba anaweza akawa na IQ kubwa kuliko aliefika level ya degree kwasababu ata chuoni tuliona mengi yaliyosababisha tujiulize utashi wa mtu fulani kupembua mambo, Kwahiyo swala la mtu kusumbua kazini au kwenye ajira sio la darasa la saba B au degree ni utashi wa mtu binafsi. Anyways i think kila mtu anavutia upande wake apo ndo pale jeshini walikuwa wanasema ukiona wameenza kufarakana ujue dawa imeanza ingia.
 
mkuuu ni noma kila mtu ana siri yake humu
 
Wakuu tupunguze lugha ya dharau na kejeli kuhusu kundi fulani ama PT,tujitahidi tusipoteze content ya uzi. ukiona majeshini felia nenda ka aplai utumishi nafasi zinatoka daily. moja ya core values na priority za majeshi yetu ni nidhamu na uvumilivu. dharau na kejeli sio mahala pake, huyo darasaba unaye mdharau naye ana nafasi yake katika majeshi yetu na nchi yetu kwa ujumla, ni hayo tu kwa leo
 
Inch za urefu zinaniponza kudadeq..........[emoji38][emoji38][emoji38]

Mwaka huu narudi Tena kujitolea .....labda kambini nitakapa mbanga ya usalama wa T
Omba Mungu mkuu walau mwez wa tano mchakato uanze watu kuzama kama wale wa op Samia walienda wa tano now watu wameanza kupungua
 
Upo sahihi lkn wengiwao wasiweza pambanua mambo ni darasa la saba mkuu yani hata kuandika ni mtihani yawezekna wa darasa la saba au four akapembenua mambo kuliko degree sikuping ila kwa hawa askari wetu wengi weupe wenye elimu hizo
 
Sahihi kabisa, naweza tolea mfano kwa bwana mmoja si vyema kumtaja majina alifanya vyema sana katika taaluma fulani japo alikuwa ni kidato cha nne tu elimu yake ila huwezi amini alipelekwa uingereza kuisoma vyema ile taaluma. Kwahiyo si kauli nzuri kuona kama hao watu wa darasa la 7 au kidato cha nne hawana maana, kukosa nidhamu ni utashi wa mtu binafsi kuna watu wana elimu nzuri na wanatimuliwa sana mfano TMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…