Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Anamaanisha

barua tuma posta lakini anuani iwe ya gereza la wilaya ya sehemu uliyopo maana ndio barua yako inapoenda


Elfu mbili tu hapo haya changamka

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwahyo kumbe hyo barua haiendi dodoma nikienda kutuma posta inaenda kwenye gereza mfano pale ukongo si ndivyo mkuu au
 
Kuna ambao wanakula mzigo muda huu alaf kuna ambao wanaanza kuripoti nadhan course yao ni kuanzia feb ivi
Wakuu hivi inawezekana watu kurepoti kambini mwezi mmoja kabla? Na kama ni ndio mda huo wote wanakuwa na shughuri wanafanya au wanakuwa wamekaa tu
 
Kikubwa mbanga tu .,Kuna jamaa kapiga university na officer wale wa porin flan hivi.....karud kitaa mambo magumu .....kamchek yule officer now yule kijana after 2 week zijazo anaingia course .....na sijasikia zikitangazwa[emoji38][emoji38]
Dah mibanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…