BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Hawa wanareport kwa ajili ya course inayoanza lini mkuu?I can confirm kwamba TPDF watu wanareport msata kimya kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanareport kwa ajili ya course inayoanza lini mkuu?I can confirm kwamba TPDF watu wanareport msata kimya kimya
Kwahyo kumbe hyo barua haiendi dodoma nikienda kutuma posta inaenda kwenye gereza mfano pale ukongo si ndivyo mkuu auAnamaanisha
barua tuma posta lakini anuani iwe ya gereza la wilaya ya sehemu uliyopo maana ndio barua yako inapoenda
Elfu mbili tu hapo haya changamka
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kanali ni mtu mkubwa sana jeshiniHivi kamanda level ya Kanali anaweza kusaidia ?
Wewe unatakiwa umuelekeze akushike mkono sio mnapiga stori tuuDah ila huu uzi unafatiliwa kinoma...kuna afande mmoja kaniambia yan madogo mnavyoutaka ukamanda ningekuw mimi ningewabeba wote humo jf 😂
Colonel ni mtu anawezaHivi kamanda level ya Kanali anaweza kusaidia ?
Kuna ambao wanakula mzigo muda huu alaf kuna ambao wanaanza kuripoti nadhan course yao ni kuanzia feb iviHawa wanareport kwa ajili ya course inayoanza lini mkuu?
Wengi ndo wanakuaga wakubwa wa vikosi.. vya JKT. Kama sijakoseaKanali ni mtu mkubwa sana jeshini
Ngoja nikomae nae dadek...Colonel ni mtu anaweza
Oh okay...hivi kwa uelewa wako JW posho zao ni 50k kama polisi?Kuna ambao wanakula mzigo muda huu alaf kuna ambao wanaanza kuripoti nadhan course yao ni kuanzia feb ivi
Ndio hivyo kaka tunatafutaWewe unatakiwa umuelekeze akushike mkono sio mnapiga stori tuu
Kabisa kaka. Maombi yana nguvu sana. Nitakuja kutoa ushuhuda humu. Naamin Mungu atatenda. Tuzidi kusali.Tuzidi kusali na kumuita MUNGU. Atuondoe mtaa. Maana hali ni ngumu
150k otherwise niliambiwa uongoOh okay...hivi kwa uelewa wako JW posho zao ni 50k kama polisi?
Inategemea na kikosi, Ila vikosi vingi vya JKT wakuu wao ni maluten kanali na ma majorWengi ndo wanakuaga wakubwa wa vikosi.. vya JKT. Kama sijakosea
50k posho !!! Ni wakati wa kozi au posho ya kazini?Oh okay...hivi kwa uelewa wako JW posho zao ni 50k kama polisi?
Wakuu hivi inawezekana watu kurepoti kambini mwezi mmoja kabla? Na kama ni ndio mda huo wote wanakuwa na shughuri wanafanya au wanakuwa wamekaa tuKuna ambao wanakula mzigo muda huu alaf kuna ambao wanaanza kuripoti nadhan course yao ni kuanzia feb ivi
Naongelea wakat wa course50k posho !!! Ni wakati wa kozi au posho ya kazini?
Dah mibangaKikubwa mbanga tu .,Kuna jamaa kapiga university na officer wale wa porin flan hivi.....karud kitaa mambo magumu .....kamchek yule officer now yule kijana after 2 week zijazo anaingia course .....na sijasikia zikitangazwa[emoji38][emoji38]