Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kikubwa mbanga tu .,Kuna jamaa kapiga university na officer wale wa porin flan hivi.....karud kitaa mambo magumu .....kamchek yule officer now yule kijana after 2 week zijazo anaingia course .....na sijasikia zikitangazwa[emoji38][emoji38]
Kozi gani?
 
Wakuu hiv kwa police lindo ya banki ni lazima au kwa ambao wameingia kwa kutumia Chet cha form 4 tu
Course mnafanya wa level zote so yeyote anaweza akapangwa huko. Mafunzo ni sawa regardless na elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…