BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Usajili unakuwa unafanyika nadhan mpaka course Ije ifunguliwe rasmiWakuu hivi inawezekana watu kurepoti kambini mwezi mmoja kabla? Na kama ni ndio mda huo wote wanakuwa na shughuri wanafanya au wanakuwa wamekaa tu