Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hawa jamaa Tanapa sijui kwanini hawajaajiri muda mrefu
Yaani ,inakatisha tamaa kabisa Tawa ,Ngorongoro Ncca ,Tanapa wakuu mtupe majibu link na nyinyi mtatoa nafasi za ajira kwa watanzania vijana wazalendo waliopitia kozi za uhifadhi ktk vyuo vya mweka na pasiansi na ambao ni jeshi usu kwa sasa kwa taasisi zote za kiuhifadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…