Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Basi wataongeza kukaa pori na mafunzo ya medani labdaMaovyoovyo hayatakuwa mengi nahisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wataongeza kukaa pori na mafunzo ya medani labdaMaovyoovyo hayatakuwa mengi nahisi.
Miezi mingap kabla...na mnavaa zile zile uniform za mafunzoniDoria na guard mnaenda
Vijana kama mna mibanga changamkieni JWTZ huko mkale dosoBasi wataongeza kukaa pori na mafunzo ya medani labda
Nilivyokua JKT nilikua napenda sana wale Serviceman walivyokua wanaenda mipakani kupiga guard na SMG....Doria na guard mnaenda
Miezi mingap kabla...na mnavaa zile zile uniform za mafunzoni
GUARD si mnapiga zile za kambini tu pale getini CCP na maangani na zile sehemu zenye silaha
Aise JW sina mtu hata mmoja zaidi ya jamaa mmoja ni private tu alifukuzwa kozi ya Afisa cardet TMAVijana kama mna mibanga changamkieni JWTZ huko mkale doso
Miezi mingap kabla...na mnavaa zile zile uniform za mafunzoni
GUARD si mnapiga zile za kambini tu pale getini CCP na maangani na zile sehemu zenye silaha
Hivi kule ukifukuzwa ndio hauwez kurudi tenaAise JW sina mtu hata mmoja zaidi ya jamaa mmoja ni private tu alifukuzwa kozi ya Afisa cardet TMA
Uniform mnapiga zile za mafunzoni....Baada ya kutoka porini kufundishwa medani kuna za nje mnaenda na unakabidhiwa chuma kabisa.
Baada ya pori mnapewa full uniformUniform mnapiga zile za mafunzoni....
Daaah napata morali sana nikiiona SMG
SIjajua ila jamaa alinificha nahisi alizingua suala la nidhamu sana wapo strictly sana...Hivi kule ukifukuzwa ndio hauwez kurudi tena
Baada ya pori mnapewa full uniform
Kwann chief?Kijana ulikuw unachora makamanda nn...
Yaani ,inakatisha tamaa kabisa Tawa ,Ngorongoro Ncca ,Tanapa wakuu mtupe majibu link na nyinyi mtatoa nafasi za ajira kwa watanzania vijana wazalendo waliopitia kozi za uhifadhi ktk vyuo vya mweka na pasiansi na ambao ni jeshi usu kwa sasa kwa taasisi zote za kiuhifadhiHawa jamaa Tanapa sijui kwanini hawajaajiri muda mrefu
QRFNilivyokua JKT nilikua napenda sana wale Serviceman walivyokua wanaenda mipakani kupiga guard na SMG....
Ndio . Barua unatuma kwa gereza lililo karibu yako hivyo tafuta anuani ya gereza la karibu yako andaa maombi nenda katume postaKwahyo kumbe hyo barua haiendi dodoma nikienda kutuma posta inaenda kwenye gereza mfano pale ukongo si ndivyo mkuu au
I can confirm kwamba TPDF watu wanareport msata kimya kimya
Komaa naye huyoNgoja nikomae nae dadek...
pamoja mkuuHeheeeee ,anakupa presha afisa uhamiaji mtarajiwa 🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈🙈🙈🙈
yaah mkuu wanguUT mkuu?