Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hkn maisha ambayo nayapenda kwa moyo wangu wote na kuyaota kila uchao km maisha ya jeshi,nayapenda sn.nasema nayapenda kutoka moyoni kbsa.nko tyr kufa kwa ajili ya jeshi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Shuhuda za kusaidiwa na mbanga zinatutia moyo sana ...watu wenye roho nzuri bado wapo na watazidi kuwepo
Jamaa mmoja hapo amehadithia kuna mbanga ilimsaidia baada ya miaka minne ndio ikamcheki na hapo ukute walikua kambi moja au za karibu kabisa....
Hakuna furaha kama kumsaidia mtu na yeye akafanikiwa
 
We jamaa upo kitengo unatuchota tu hapa
 
Nitumie namba zake PM na taarifa zake full niruke naye.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah yule mzee alikuwa mtata sana,ila me nahis hao wanaowapa vyeo lzm wanaangalia na unaa wa mtu.maan marsm weng wanakuwa wanaa knma.
kuna RSM alikuwa mtabila anaitwa Kayange au mzee wa pwii,hiyo sura tuu haijawah kuwa na amani hata kama anafurah
 
kuna RSM alikuwa mtabila anaitwa Kayange au mzee wa pwii,hiyo sura tuu haijawah kuwa na amani hata kama anafurah
Pale alikuwaga rsm mwamfwandilo asee alikuwa mnaaa na kwata anajua balaaaa sijwahi ona, sema huyo sijamjua maana nilikuwa nishasepaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…