Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji1787] sio poa nini Nani niniKaka umenirudisha gadi ya 4 kabisa kwa Afande Sele [emoji23]
We jamaa upo kitengo unatuchota tu hapaHata sijui huyo bilionea alipo now ila kwa kifupi ni kuwa wajeda wenzake walikuwa wanamuonea wivu so mwamba kapigiwa fitina saana nadhani now ingetakiwa awe hata meja general
Kwa upande wa waha alileta ubabe wa kijeshi umoja wa wachawi wa kasulu wakawa wanamlaza nje analala ndani akiamka asubuhi anajikuta nje akaona makubwa cha kufia nini akatema uDC (ikaonekana kagomea amri halali ya amiri jeshi mkuu tena Jiwe mr siambiliki wa chato .....)
Nitumie namba zake PM na taarifa zake full niruke naye.Kuna mtoto wa barozi wetu wa Rwanda dingi yake alikuwa ni mnene jeshini kama una mbinu za kimedani nikuunganishe na huyo mtoto ni she nimesoma nae chuo uchonge nae utembelee connection zake zilizopo huku(for ur own risk ukipunwa utajijua)
Nimeota nimemchoma mkuki jamaa wa ikulu
Mkuu vp umeona ujumbe dmMimi nikikosa pande la mtipidiii najiwuwa 😂
Tuna siku 3 au 4 hv[emoji28]Wiki ya pdf UT hii [emoji16]
nlikua namkubali sana RSM matanda sahizi mstaafu,Matanda hakuwa mnaa Bali ni mzee wa maneno mengii akiongea unaweza sema leo nimeisha ila wala alikuwa very fair mpaka wenzie walikuwa wanamjua
acha tuu mkuu, sijui watafanya kweliWiki ya pdf UT hii 😁
kuna RSM alikuwa mtabila anaitwa Kayange au mzee wa pwii,hiyo sura tuu haijawah kuwa na amani hata kama anafurah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah yule mzee alikuwa mtata sana,ila me nahis hao wanaowapa vyeo lzm wanaangalia na unaa wa mtu.maan marsm weng wanakuwa wanaa knma.
tutafika ila tumechoka sanaa[emoji1][emoji23]jah bless wana UT tuingie mzigoni mapemaa.
pasipo wasahau wanangu wa ZT,PT,MT,JWTZ pia
kitaa kigumu balaatutafika ila tumechoka sanaa[emoji1][emoji23]
Pale alikuwaga rsm mwamfwandilo asee alikuwa mnaaa na kwata anajua balaaaa sijwahi ona, sema huyo sijamjua maana nilikuwa nishasepagakuna RSM alikuwa mtabila anaitwa Kayange au mzee wa pwii,hiyo sura tuu haijawah kuwa na amani hata kama anafurah
Kitaaa kigumu kama ukiwa hauna mishe ya maana mkuu ni mateso tu afu unasikia jamaa zako mliopita wote mujibu au kujitolea yupo polisi au uhamiaji au jwtz unakuta roho inauma kinyama,kitaa kigumu balaa
sio mishe za maana,sina mishe kabisa mkuuKitaaa kigumu kama ukiwa hauna mishe ya maana mkuu ni mateso tu afu unasikia jamaa zako mliopita wote mujibu au kujitolea yupo polisi au uhamiaji au jwtz unakuta roho inauma kinyama,
Hapo lazima uone mateso mkuu, unafanya fanya hata vibarua mkuu ukipata mia 2 au mia 500 huku unapigia nafasi siku zinasongasio mishe za maana,sina mishe kabisa mkuu