mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Bless us jahHapo lazima uone mateso mkuu, unafanya fanya hata vibarua mkuu ukipata mia 2 au mia 500 huku unapigia nafasi siku zinasonga
Sasa hv Kuna utandawazi sana, simu si zipoTatzo alivyoniambia yeye kwamba amekuwa balozi nchini msumbiji sasa itakuwa ngumu kidogo kumtafuta kwa alivyoniambia
Bado najiuliza hata hivyo sema hz mambo ujue kuna muda ni kama tunakunjiana tu vile sjuiSasa hv Kuna utandawazi sana, simu si zipo
AmeeenBless us jah
hata mm nilihisi hvyo muda flaniWe jamaa upo kitengo unatuchota tu hapa
Huyo kayange mbna km namjua, kna mzee mrefu hlf black kdg hlf jino moja la mbele limetoka nae Alikuw anaitwa kayangekuna RSM alikuwa mtabila anaitwa Kayange au mzee wa pwii,hiyo sura tuu haijawah kuwa na amani hata kama anafurah
Ndio wajua leoWe jamaa upo kitengo unatuchota tu hapa
Jamaa wa ikulu, Mwamba kweli2We jamaa upo kitengo unatuchota tu hapa
Pdf imejaa utaboost vp now??Makamanda muda huu ni wakuboost mibanga lonja ni kutokea mtaani sifa mbanga uloshiba ila inawezekana nyeupe kabisa
Ipi hiyo mkuu,UT au PT?PDF Bado sana kutoka, angalau wiki mbili zijazo
Mimi naongelea mtipidiii potiPdf imejaa utaboost vp now??
Yani sifa mbanga uwe full charge tu ila hii ya saivi msata panaendekaKutokea uaraiani na kwenda msata inawezekana vizuri tu tena hata hizo nafasi wakichukua makambini.
Ila inategemea nani yupo nyuma yako.
Kwa macho yangu nimemshuhudia Mwanangu akienda msata akitokea uraiani.
Sent using Jamii Forums mobile app
UT
Alikuwa kule IDS na mara nyingi kawa Seminar Leader wengi tumemjulia hukoMkisi nadhani ashawahi kua lecturer UDSM.
Huyu mwamba nasikia ana majivuno acha tu.
Nasikia akiwaga katika vipindi anasema kua katika wajeda wote TZ ni general tu ndio anamzidi kwa mtonyo.
Pia ashawahi kusema kua ikitokea gari yake imeonekana mazense au Tandale ujue labda imeibiwa [emoji16].
Eti yeye kwa hadhi yake yake hawezi kwenda hizo sehemu.
Pia akasema nyumbani kwake kila mtu ni degree holder hadi house girl wake[emoji848][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anha kumbehAlikuwa kule IDS na mara nyingi kawa Seminar Leader wengi tumemjulia huko