Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

kuna RSM alikuwa mtabila anaitwa Kayange au mzee wa pwii,hiyo sura tuu haijawah kuwa na amani hata kama anafurah
Huyo kayange mbna km namjua, kna mzee mrefu hlf black kdg hlf jino moja la mbele limetoka nae Alikuw anaitwa kayange
 
Kutokea uaraiani na kwenda msata inawezekana vizuri tu tena hata hizo nafasi wakichukua makambini.

Ila inategemea nani yupo nyuma yako.

Kwa macho yangu nimemshuhudia Mwanangu akienda msata akitokea uraiani.



Sent using Jamii Forums mobile app
Yani sifa mbanga uwe full charge tu ila hii ya saivi msata panaendeka
 
Mkisi nadhani ashawahi kua lecturer UDSM.

Huyu mwamba nasikia ana majivuno acha tu.

Nasikia akiwaga katika vipindi anasema kua katika wajeda wote TZ ni general tu ndio anamzidi kwa mtonyo.

Pia ashawahi kusema kua ikitokea gari yake imeonekana mazense au Tandale ujue labda imeibiwa [emoji16].

Eti yeye kwa hadhi yake yake hawezi kwenda hizo sehemu.

Pia akasema nyumbani kwake kila mtu ni degree holder hadi house girl wake[emoji848][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa kule IDS na mara nyingi kawa Seminar Leader wengi tumemjulia huko
 
Back
Top Bottom