MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Kaka ebu fanya kweli tuondoke.Makamanda muda huu ni wakuboost mibanga lonja ni kutokea mtaani sifa mbanga uloshiba ila inawezekana nyeupe kabisa
kutoka useminar leader IDS/COHU/UDBS mpaka JWTZ?Alikuwa kule IDS na mara nyingi kawa Seminar Leader wengi tumemjulia huko
Na mimi nasikilizia kaka mtaan kugumKaka ebu fanya kweli tuondoke.
Tuzidishe maombi Mungu afungue milangoNa mimi nasikilizia kaka mtaan kugum
Zimamoto wametia pdtf jamaaaannnTuzidishe maombi Mungu afungue milango
Wametoa leoZimamoto wametia pdtf jamaaaannn
Tayari wameshamwaga pdf?Zimamoto wametia pdtf jamaaaannn
Litupie humu wadau walioomba wajioneWametoa leo
Eeeeeeh boss uhamiaji soon kakaTayari wameshamwaga pdf?
Anatembea Kibata bata ,uchura na kukwepa ndege kuzunguka kikosi 🤣🤣🤣🤣Ma MP huwa wanywanywa sana ..watakupapasa hutoamini
Itume humu ya zimamotoEeeeeeh boss uhamiaji soon kaka
Jamaa anatuzingua...kwenye tovut yao hakuna pdf yoyote sijui kaiona wapTumeni humu kama umeiona
sijui shida inakua nn.kuja na info bandia watu wengine huwa ni chenga sanaJamaa anatuzingua...kwenye tovut yao hakuna pdf yoyote sijui kaiona wap
Me mwenyewe nimechungulia kwa tovuti yao nakuta habari ya mwisho ni 6/01/2023 ya ajira mpya basi sasa Sijui yeye kaiona wapi au ndo CONNECTION KUBWA unalishwa madini kabla hayajatokea.[emoji3][emoji28]Jamaa anatuzingua...kwenye tovut yao hakuna pdf yoyote sijui kaiona wap
pdtf ndio nn?Zimamoto wametia pdtf jamaaaannn
Inawezekana labda maana kama ana connection labda kaipata kabla hawajaimwagaMe mwenyewe nimechungulia kwa tovuti yao nakuta habari ya mwisho ni 6/01/2023 ya ajira mpya basi sasa Sijui yeye kaiona wapi au ndo CONNECTION KUBWA unalishwa madini kabla hayajatokea.[emoji3][emoji28]