Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jamaa anatuzingua...kwenye tovut yao hakuna pdf yoyote sijui kaiona wap
Me mwenyewe nimechungulia kwa tovuti yao nakuta habari ya mwisho ni 6/01/2023 ya ajira mpya basi sasa Sijui yeye kaiona wapi au ndo CONNECTION KUBWA unalishwa madini kabla hayajatokea.[emoji3][emoji28]
 
Inawezekana labda maana kama ana connection labda kaipata kabla hawajaimwaga
 
Back
Top Bottom