BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Boss wangu umesema mm nani nikupingeMungu akijaalia this weekend UT mambo yote hadharani
sio mzaha mimi kuna jamaaa kanitumia whatsaap sema nashibdwa namina ya kutuma apaHuyu Nanga kajiunga majuzi ijumaa Jamii forum ,analeta mzaha humu ndani
Screen shot majina sharesio mzaha mimi kuna jamaaa kanitumia whatsaap sema nashibdwa namina ya kutuma apa
[emoji2][emoji2]Boss wangu umesema mm nani nikupinge
Iya apo wakuuu sema inasemekana wailiifuta baada ya nusu saa makamanda wangu siwezi leta mzah kwenye mambo ya mafanikio wakuu
Shusha shushaahahah ila hii mibanga hii, badae nikitulia nitaleta kisa kimoja cha majamaa falani hivi
Mkuu me nmehitimu 2018 had leo we acha tuSo poa mkuu
hii niki zoom kma ni kuita watu usahili 2022??
so poa bachelor holders wengi michongo hamna stritiMkuu me nmehitimu 2018 had leo we acha tu
Watalipost tu kama tayari. Nakumbuka hata siku ajira za polisi zinatoka tangazo nilianza kuona kwenye status za masela maafande ila kwenye website lilichelewa.Iya apo wakuuu sema inasemekana wailiifuta baada ya nusu saa makamanda wangu siwezi leta mzah kwenye mambo ya mafanikio wakuu
yaah mzigo upo instagram nowTayar wamepost ila ni mzigo wa usaili
Nilisema mm waliojiongeza wataitwa...namuona classmate wangu pale 🤣Tupeni mrejesho wakuu mlio omba vp pdf imetuweka makamanda??
Sio poa wengine minne kk wanatoboa
Daah wengine tuna miaka miwili mtaani na tumeshapanic..kumbe kuna malijendi wanatafuta mwaka wa 4 kabsaMkuu me nmehitimu 2018 had leo we acha tu
Wametoa pdf hao ZTNilisema mm waliojiongeza wataitwa...namuona classmate wangu pale 🤣