Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Wameita idadi ya watu wangap?Tayar wamepost ila ni mzigo wa usaili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameita idadi ya watu wangap?Tayar wamepost ila ni mzigo wa usaili
Upo kwenye account gani?yaah mzigo upo instagram now
mkuu c uliomba pia,vp tumo?Nilisema mm waliojiongeza wataitwa...namuona classmate wangu pale 🤣
Kaka mbona ww bado sana kumbe miaka miwili tu hapo unapanic hahahaha watu wanaenda minne mkuu acha tuDaah wengine tuna miaka miwili mtaani na tumeshapanic..kumbe kuna malijendi wanatafuta mwaka wa 4 kabsa
Wanataka watu wangapi?Hao walioitwa zimamoto wanaweza kuchukuliwa wote tu labda mtu awe unfit...
hiiiUpo kwenye account gani?
Daaaah sio poa mkuuwa tatu huu mkuu
Hahahaha ushaoa chief na kitaa kilivyo kigumu wahuni si watakupigia tuChief acha tu.. majukumu sio poa
Wapi huko hahahahahahahsiku ya usahili wameagiza vifaa vya michezo ,aiseeh litakufa jitu kwa mabio
Kaka acha tu halafu mama watoto ana kazi yake...kila siku ni makelele kuhudumia 😅Hahahaha ushaoa chief na kitaa kilivyo kigumu wahuni si watakupigia tu
Naona wameanza na ma seniorhiii
zima motoo mkuuWapi huko hahahahahahah
kwa majeshi yote nahisi ZT ndio wana kozi laini kama ya JKT RUVU 😅😅siku ya usahili wameagiza vifaa vya michezo ,aiseeh litakufa jitu kwa mabio
zima motoo mkuu
Hzo mambo asee ni hataree ukute yeye anatokq asubuhi kwenda kazini muhuni unalea mtotoKaka acha tu halafu mama watoto ana kazi yake...kila siku ni makelele kuhudumia 😅