Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu mwisho mkuuni mwaka wa tatu huu niko street nauza machungwa tangu
ni hitimu elimu yetu ya makaratasi hpo ubungo
Kaka hyo imewahi nitokea ..kama wiki mbili ..wiki ya 3 nikamuambia nimepigiwa simu nimeitwa interview mahala...nikaenda kwa mshkaji nilikaa miezi minne tunafanya vibarua vya gerejiHzo mambo asee ni hataree ukute yeye anatokq asubuhi kwenda kazini muhuni unalea mtoto
Kama JKT ruvu tu....😅nasikia zimamoto kozi yao bata sana
Nimepigwa TKO MAPEMA FIRE
Op gan mkuudaah me nlimaliza chuo 2017 nikaa miaka miwili kitaa nikaona pagumu nikarudi jakata nimekaa miaka mi3 now nmerud tena kitaa
HahahahahahahahKaka hyo imewahi nitokea ..kama wiki mbili ..wiki ya 3 nikamuambia nimepigiwa simu nimeitwa interview mahala...nikaenda kwa mshkaji nilikaa miezi minne tunafanya vibarua vya gereji
Kweli nimeona wameweka Instagram page yao tanzimamotosio mzaha mimi kuna jamaaa kanitumia whatsaap sema nashibdwa namina ya kutuma apa
Kuna demu aliomba simuoni Kabisa hata somo wa jina lake hamna daahNilisema mm waliojiongeza wataitwa...namuona classmate wangu pale [emoji1787]
Umeitwa usaili wa fireMwaka huu ni wangu...song by harmonize[emoji91]
Umepazarau ruvu ila si kwamba laini Bali kambi yenye miundombinu bora kuliko kambi zote za jkt,kambi laini ya jkt ni maramba jktkwa majeshi yote nahisi ZT ndio wana kozi laini kama ya JKT RUVU [emoji28][emoji28]
Sikuapply huko aiseUmeitwa usaili wa fire
Hiyo ni kasumba,na huo msemo unawaponza kuruti wanaokwenda pale[emoji28],kambi lelemama ni maramba jktKama JKT ruvu tu....[emoji28]
Yeah kama kawa unakata km Sasa kama tumbo limezoea bia na nyama utakomaDuuuuh kwahyo magereza nako kwenye usahili wake kuna mabio
Polee mkuu, peresuperesu iyo. PT na UT wakitoa patakua hapatoshi hapa !!!Nimepigwa TKO MAPEMA FIRE
Hahahahahaha kwamba vitakuwa vinalia tumboni na kuungurumaYeah kama kawa unakata km Sasa kama tumbo limezoea bia na nyama utakoma