Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Mkuu kanembwa huwezi rudi mnene. Nakumbuka enzi zetu watu weupe especially wakiume pamoja na vibonge walikuwa wanaanamwa kinoma. Wanene walikuwa wanaendesha zile tyre za trekta mpaka huruma.Kambi laini ni maramba jkt,unene ni mwili wapo watu wameenda kozi ya ajira tpdf wamerud na unene mbna