Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kambi laini ni maramba jkt,unene ni mwili wapo watu wameenda kozi ya ajira tpdf wamerud na unene mbna
Mkuu kanembwa huwezi rudi mnene. Nakumbuka enzi zetu watu weupe especially wakiume pamoja na vibonge walikuwa wanaanamwa kinoma. Wanene walikuwa wanaendesha zile tyre za trekta mpaka huruma.
 
Hakuna kambi laini kama Ruvu Jkt..
Watu wameenda kambi wanene wamerud vile vile
nenda mtabila au kanembwa utaelewa somo
Kiufup kozi za jkt za kawaida Sana ,jkt hamna jipya usijione umeiva mkuu,kozi ngumu ni za ajira mkuu
 
Hiyo ni kasumba,na huo msemo unawaponza kuruti wanaokwenda pale[emoji28],kambi lelemama ni maramba jkt
Ruvu ni kambi laini hakuna asiyejua hili anayeteseka na kozi ruvu huyo mtoto wa mama

wapemba wengi wapo pale na ni wategevu hao sio poa urojo urojo tu nina wadau wengi tu wamepita pale .


Pale watoto wa viongozi wengi sana kozi ngumu itoke wapi wanawabeba hivyo hivyo kimtindo


Kama ushawahi fanya saili za jkt kujitolea utaelewa tu watu wanatoa hela wapelekwe pale viongozi wengine wanaomba watu wao waende pale
 
Na kambi ngumu ni za kigoma mazingira mabaya ,mavumbi , udongo mwekundu wenye funza ukienda na nguo nyeupe utaiacha huko huko

Kazi ngumu kweli kweli na kule unalima haswa

Na kama route kule ndio penyewe wale hawajui wewe ni mujibu au kujitolea
 
Back
Top Bottom