MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Form 4, ila sikuwa na kigezo hata kimoja.Chief uliapply kwa elimu ipi
Pia nilituma posta siku 2 kabla maombi kufungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Form 4, ila sikuwa na kigezo hata kimoja.Chief uliapply kwa elimu ipi
Mlale nasikia ndio kambi kubwa ya uzalishaji, watu wanalima mpka wanakuwa wehuHivi hapa hamna waliopita 842KJ Mlale Songea?
Miaka 4 tyr sema bdo miezi 8 itimie mitano.mtaan sio pazuri ndgu zangu ach tu.Daah wengine tuna miaka miwili mtaani na tumeshapanic..kumbe kuna malijendi wanatafuta mwaka wa 4 kabsa
Hahahahahahaaa we jamaa unafurahisha ujue[emoji1787][emoji1787]Hahahaha ushaoa chief na kitaa kilivyo kigumu wahuni si watakupigia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Route ya mlima range kutokea maguruwe lazima utoke kitambi
Umerud kitaa au umerud na tengo huko baba?daah me nlimaliza chuo 2017 nikaa miaka miwili kitaa nikaona pagumu nikarudi jakata nimekaa miaka mi3 now nmerud tena kitaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] washikaj mmepinda snNaenda kuchek game ya Arsenal Defender ya Mapot imenipita hapa nikawapigia salute nao wakanirudishia kwa kutikisa kichwa...
Mwakani muda kama huu tutakua tunapiga patrol na sisi
Naskia iko twn kbas kaka,sas hapo mabio yapo kwel?
Ahsante kwa kuwasilishaRuvu ni kambi laini hakuna asiyejua hili anayeteseka na kozi ruvu huyo mtoto wa mama
wapemba wengi wapo pale na ni wategevu hao sio poa urojo urojo tu nina wadau wengi tu wamepita pale .
Pale watoto wa viongozi wengi sana kozi ngumu itoke wapi wanawabeba hivyo hivyo kimtindo
Kama ushawahi fanya saili za jkt kujitolea utaelewa tu watu wanatoa hela wapelekwe pale viongozi wengine wanaomba watu wao waende pale
Waambie kaka labda wataelewa hamna kambi ngumu kama hizi ...KANEMBWA,BULOMBORA na MTABILANa kambi ngumu ni za kigoma mazingira mabaya ,mavumbi , udongo mwekundu wenye funza ukienda na nguo nyeupe utaiacha huko huko
Kazi ngumu kweli kweli na kule unalima haswa
Na kama route kule ndio penyewe wale hawajui wewe ni mujibu au kujitolea
Hii lonja naona wadau hawajaiona vzuriMajina UT tarehe 28/01 around 19-20:00[emoji277]
PT vp chief?Majina UT tarehe 28/01 around 19-20:00[emoji277]
Mfarakano kwa kwenda mbele unaweza dhani unakula kitengo kumbe holaHahahahahaha kwamba vitakuwa vinalia tumboni na kuunguruma
Hata CCP iko Town kabisa ila mabio ni kila siku mkuu ...ni mipango tu 😂Naskia iko twn kbas kaka,sas hapo mabio yapo kwel?
Tumeiona ila ya tumeipuuzia 😂😂😂 hatuiaminHii lonja naona wadau hawajaiona vzuri
kwa majeshi yote nahisi ZT ndio wana kozi laini kama ya JKT RUVU [emoji28][emoji28]
Polisi usaili wao hauna kashkash...sijui usaili wa JWTZ wao unaokuaje. ZT kama unajua kuogelea na umesoma kwenye chuo Chao unapita chap tu
Kila jeshi lina scope yake, cozi haziwez fanana.
Lain au ni ngumu itategemea kama ulishawahi udhuria, au ni mwalimu wa majeshi hayo, otherwise kama unakisia tu hujui kitu
HahahaTumeiona ila ya tumeipuuzia 😂😂😂 hatuiamin
Maliasili kumelala sasa ,hivi sijui shida iko wapi ?