Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ruvu ni kambi laini hakuna asiyejua hili anayeteseka na kozi ruvu huyo mtoto wa mama

wapemba wengi wapo pale na ni wategevu hao sio poa urojo urojo tu nina wadau wengi tu wamepita pale .


Pale watoto wa viongozi wengi sana kozi ngumu itoke wapi wanawabeba hivyo hivyo kimtindo


Kama ushawahi fanya saili za jkt kujitolea utaelewa tu watu wanatoa hela wapelekwe pale viongozi wengine wanaomba watu wao waende pale
Ahsante kwa kuwasilisha
 
Na kambi ngumu ni za kigoma mazingira mabaya ,mavumbi , udongo mwekundu wenye funza ukienda na nguo nyeupe utaiacha huko huko

Kazi ngumu kweli kweli na kule unalima haswa

Na kama route kule ndio penyewe wale hawajui wewe ni mujibu au kujitolea
Waambie kaka labda wataelewa hamna kambi ngumu kama hizi ...KANEMBWA,BULOMBORA na MTABILA
Maprivate wengi huwa wanapelekwa hizo kambi kma sehemu mojawapo ya adhabu
 
Back
Top Bottom