SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Nilipita pale, asee acha tuuMlale nasikia ndio kambi kubwa ya uzalishaji, watu wanalima mpka wanakuwa wehu
[emoji28]Trh 28 bdo hainingii akilin kma hukumu ya babu sea
Mlale kuna kazi so poaNilipita pale, asee acha tuu
Kuna shamba dunia linaitwa embakasi ebwanaeee acha tu, wana mpaka kiwanda Cha unga magufuli alikifungua, sasa just imagine kikosi kinazalisha mpaka kimefungua na kiwanda. OP yetu ndo kiwanda kulikua kinajengwa, kuruti tulikua makini sana asubuhi kwenye kuhesabu namba alafu upangiwe kitengo, ukijichanganya tu unapangiwa masanguu kule kiwanda kinapojengwa wahuni wanaondokaga saa 12 wanarudi mda wa kula wanachechemea 😂😂😂 mpaka maafande wanawarushia taulo wasipange foleni wale kwanza. Wanangu walikua wananambia kazikazi sio poa maana kule mnachanganywa na wakujitolea scale ni ileile sasa wale ma service wanajua wakicheka na nyie mkiondoka mzigo watakula peke yao alafu iyo project mkuu wa kikosi alikua anataka ikamilike mapema amuoneshe mh Raisi magufuli, naskia mkuu wa kikosi aliibiwa Lonja anapandishwa cheo Koh ataondoka pale sasa alitaka project yake aliyoanza nayo aimalize sio kamanda kikosi mpya aje kuchukua point 3 kirahisi tu😂😂😂 Koh mkuu wa kikosi alikua anawarushia taulo mujibu wa vitengo vingine Ila sio wanaopangiwa kule kiwandani oyaaa 😂😂😂😂 kule acha kabisaMlale kuna kazi so poa
Hahahahaha ukizingua uchafu wa mwili lazima utundike ndevu, umefuga minywele zivu oyaaa utaelewa tuHuwa na huko kuna maovyoovyo au?
Tushaambiwa 28/01 so tushone tutulie[emoji38][emoji38][emoji38]Leteni lonja za UT wakuu nasio chai
Nachingwea piaWaambie kaka labda wataelewa hamna kambi ngumu kama hizi ...KANEMBWA,BULOMBORA na MTABILA
Maprivate wengi huwa wanapelekwa hizo kambi kma sehemu mojawapo ya adhabu
Daaaah nimejikuta nacheka sana mkuu, 825kj mtabila tulikuwa na kazi ya kujenga shule weeh acha tu, wajabi wakipakiwa kwenye ashoke ya jeshi ikiqnza kuondoka njiani wanaruka wanarudi camp kupitia maporini wanashuka angani kulala, mziki wa kule ulikuwa sio wa kitoto kurudi camp saa 8 usiku alafu 10 mabioKuna shamba dunia linaitwa embakasi ebwanaeee acha tu, wana mpaka kiwanda Cha unga magufuli alikifungua, sasa just imagine kikosi kinazalisha mpaka kimefungua na kiwanda...
Ina eneo kubwa ndio ila mabio hayafanyiki kambini Bob...mabio yanafanyika mjini maana eneo la mule ndani halitoshi kwa route...na ndio maana mabio ni usiku wa manane wakat hamna purukushan barabarani.....CCP ni kambi kubwa Sana wanaeneoa kubwa sana watu wanaenda kozi na hamuoanani ,sasa pale maramba kambi imezungukwa na makazi ya watu very close
Mimi mwenyewe nimeambiwa kuanzia 20 hadi polisiTushaambiwa 28/01 so tushone tutulie[emoji38][emoji38][emoji38]
Jina langu lilitokea sehemu mbili wakati wa kwenda kwa mujibu. Mlale na Kanembwa. Nilivyosikia kuna mashamba huko nikakimbilia kigoma. Kipindi kile hakukuwa na mashamba Kanembwa. Sisi ndio tulikuw na kaz ya kuandaa sehemu za mashamba kuangusha miti. Nadhan intake zilizofata ndio wakaanza kulima. Ila mziki wa kanembwa nao sio wa kitotoNilipita pale, asee acha tuu
PT haiendagi haraka kihivyo...unless mwaka huu labda ibadilike. Mchakato wa kuchambua bado unaendelea. Na Mikoani huko bado hawajakamilisha.Mimi mwenyewe nimeambiwa kuanzia 20 hadi polisi
Na hakuna mkoa hata mmoja umefanya usaili polisi
Nyie mliofanya usaili polisi mje mtuambie kulikoni [emoji16] huo usaili mmefanya mikoa gani
Tulia. Wakati ukifika yatatoka tu. Kwa sasa fanya mishe zako nyingine tafuta hela...utazitumia kipindi Cha usaili .Hivi naomba kuuliza hivi majina interview ya kazi za jeshi la polisi na uhamiaji zinatoka lini mwenye anaweza kutupa ronja
Dah 😂Tushaambiwa 28/01 so tushone tutulie[emoji38][emoji38][emoji38]
Hii inatokea pale mwanasiasa anapoongea bila kufanya utafiti. Wafupi wengi tu wapo.